Recent content by Fitinamwiko

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Babu Seya kumrithi Captain Komba T.O.T

    Nakwenda Zimbabwe
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Babu Seya tupe mziki sasa, ili wale wabaya wetu wabaki na aibu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Bunge limetekwa,
  4. F

    JamiiForums Tanzania Gugai na wenzake watatu wapandishwa mahakamani Kisutu, wasomewa mashtaka 43

    Another pigo kwa magu na serikali yake. Not guilty
  5. F

    JamiiForums Tanzania Masha amekwepa upuuzi, Kitila amekata mzizi wa fitina

    Nakwenda Zimbabwe
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mwigulu Nchemba atunukiwa shahada ya Uzamivu(PhD)

    Ph D za ccm hizoooo, wizi mtupu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Museveni watoa tamko kulaani mahakama ya ICC kuichunguza Burundi

    Wao wenyewe wanasubiri kushitakiwa kwa kuvunja haki za binadamu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sugu amchana Ndalichako, anamaliza miti kwa kujaza karatasi na kuleta ujangwa

    Maprofesa wa ccm hao, weupeeee
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zitto kuhusu uchumi wa nchi itakuwa ni kesi ya kwanza na ya aina yake duniani

    Ujinga mwingine huu, sasa magogoni wanataka tujadili mimba ya nani?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

    Bashite, policcm na wale wamiliki wa shoppers wanajua
  11. F

    JamiiForums Tanzania Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    Kabla ya mwanachama wa ccm kufukuzwa uanachama, kuna vikao maalum, hii ofisi ya bunge pamoja na spika wake wote ni pombe
  12. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

    Walimu wa chuo kikuu wamekuwa makada wa ccm, wanajipanga kupokea rushwa ya vyeo toka kwa pombe. Namshukuru M/Mungu kwa kuninyima nafasi ya kwenda kupoteza muda kwenye vyuo hivi
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Nimesikiliza hotuba yote, lakini kile kipande cha human face kwa wananchi wa mwanza kinasumbua sana. Tena ameenda mbali sana kwa kuagiza mawaziri zaidi ya wa3, kufind njia mbadala. Kuna watu wana stop order, lakini serikali hii, doesnt care Ujinga kumtetea huyu mbaguzi, anatupeleka Rwanda
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Pombe amesahau kuwa Urais wake amepata kwa amani ambayo ilijengwa kwa muda mrefu. Anataka kujifananisha na Museveni, Kagame ambao walitokea msituni.
Back
Top Bottom