Recent content by Firl

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Mkuu uko kimya sana na Leo ijumatatu masai dada Karibu sana kama nyingine nakuletea dagaa na samaki popote ulipo
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Sawa karibu sana,
  3. F

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima simu usiku: Daraja la Wokovu Wakati wa Dharura

    N awasio na simu inakuwaje 🤔
  4. F

    JamiiForums Tanzania Sadio Mané atangaza kustaafu kuichea Senegal

    Hivi akishastaafu hivyo ndo achezi katika vilabu mbalimbali ndo. Mazima au
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Hapana mkuu ila wanakuja kuniulizia wapo wanasema watanitafuta ndo kama hivyo
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Ikiwa ni sato wakubwa inaweza kufika TSh 130,000–150,000. Lita 10
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jamani niruke nae au nighairi?

    Moshi mmenipokea vibaya, naenda Mbeya kula kuku wa kuchoma masawe futa namba yangu 🤣🤣## mkuu Fanya roho yako jinsi inataka Elevenn
  8. F

    JamiiForums Tanzania Hivi neno makebo ni lugha gani?

    Nilikuwa najiuliza sana 🤔
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,🙏 Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    masai dada
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

    Kweli mkuu naona upo Singapore
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,🙏 Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu masai dada
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sitarudia tena kulala chali baada ya haya mauzauza

    Mimi Huwa silali chali, nikilala basi azima niote ndoto nyingine nzuri nyingine mbaya bas imaldi tafulani
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Na wakavu pia wapo, ukitaka nakukaangia nakusafirishia, Mimi Sina mtaji wewe ni ndo boss wangu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

    Dagaa wabichi wapo wengi wakuu karibuni mniagizeni
Back
Top Bottom