Recent content by firenze

  1. F

    Binti kanywa sumu kwa ajili yangu wakati hatujawahi kuonana

    Hayo mambo yapo.kuna kisa kimoja kilitokea huko kwa wenzetu kuna Mzee yaani mtu mzima alikuwa akifanya kazi kwenye kampuni flani..akawa anachat na mwanamke online na hawajahi kuonana akaja kugundua kuna kijana pale kazini anachati na mwanamke yuleyule anayechat nae yeye..akamuweka karibu kijana...
  2. F

    UEFA Zamani, sasa ni mfano tu.

    Hili suala niliongea na mtu juzi kwa muuliza hivi huu mpira unapanda au unashuka? Ukiangalia timu y brazil miaka ya nyuma golini kuna tafalel.kushoto caros kulia cafu.kati dunga.mbele bebeto.rivaldo.ronaldo..romalio hebu cheki hao watu wote wapo kikosi kimoja kwa wakati mmoja..wakati huo pesa...
  3. F

    Zinaa katika uislamu....

    hii si halal na mtume Mohamad s.a.w alikataza kitu hicho na vizuri kujua kabla ya majirio ya hizi dini christian na islam , watu walikuwa wanaabudu vitu vyao vingine hivyo kuna baadhi za dini zikabeda mambo ya kale na kuyatia katika dini mfano christmas day na ukristo hii sherehe ilikuwepo kabla...
  4. F

    Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

    Nafikiri kufeli au kufaulu kwa jambo, jicho la kwanza ni muhusika mwenyewe kupima matokeo kutokana na uwezo wake.inawezekana jicho la pili likaona matokeo ni mabovu lakini hiyo ni kutokana na uwezo wa jicho hilo,pili kuna Hila au kusudi ya mtu kutaka lake au kufikisha jambo lake kwa namna...
  5. F

    Kuepusha Shari, Jee CAG Awadharau Aitike Wito, Aende Dodoma Kuhojiwa, or A Stick To His Guns, Katiba, Asiende, Liwalo na Liwe?.

    kila nikiliangalia hili sakata na jinsi Mh Ndungai avyoongea naikumbuka sana ile video akimpiga mtu bakora kipindi kile cha uchaguzi,hapo utaona kichwa yake iko vipi.CAG aende kusikia hicho wanachomuitia....lakini bunge halina jipya, mpaka sisi raia wa kawaida tunaona udhaifu wa bunge,udhaifu wa...
  6. F

    Hivi Kiswahili ni kigumu hivi au watu tuna matatizo ya uelewa? Je, neno 'Udhaifu wa Bunge' ni sawa na 'Bunge Dhaifu'? CAG hajasema Bunge dhaifu

    Nakunukuu ,,Jamani Tanzania ni yetu sote,,Hawa waita watu walitakiwa kulijua hili kuwa ,kila mtu akikaa kimya likizama tutazama wote,halafu tutaulizana kwa nini waliojua kuwa tutazama hawakusema mapema,na wataitwa siyo wazalendo kwa kushindwa kuliokoa taifa,na sasa wanasema kabla wanaitwa si...
  7. F

    Bajeti ya Marekani ni dolla trillion 4 - hivi Magufuli huwa anawaza nini anaposema Tanzania yaweza kuwa donor country wakati wa Urais wake?

    United states federal prison budget is 80 billion US Dollar per yr,haya weka hiyo kwenye madafu halafu linganisha na bajeti yetu ya nchi nzima KWA MWAKA bila kusahau hiyo billion 80 za marekani ni bajeti ya wafungwa tu kwa mwaka,nadhani mengine MH HUWA ANAONGEA UTANI TU.
  8. F

    La Korosho, hongera CiC, CDF, likifanikiwa, mnaonaje jeshi letu liunde kampuni, kama ilivyo kwa Vietnam? Hata Vietel ya Halotel ni ya jeshi

    kwanza anza euro 1 ni sawa na shilingi 2,586, kwa hiyo euro 5 ni sawa na shillingi 12,931, imebidi niende jikoni kikazipime nilizokuwa nazo maana zile ya kujichotea mwenyewe,ni gram 380,ambazo hapa nazipata kwa euro 5,ukipiga hesabu uliyoambiwa ya elfu 7000 kwa gram jibu ni 2,660,000 kwa hiyo...
  9. F

    La Korosho, hongera CiC, CDF, likifanikiwa, mnaonaje jeshi letu liunde kampuni, kama ilivyo kwa Vietnam? Hata Vietel ya Halotel ni ya jeshi

    kwenye korosho kuna tatizo,haiwezekani nyumbani Tanzania kununua korosho iliyo tayari kwa kuliwa mtaani iwe ghali kuliko kuinunua korosho hiyo ulaya,ulaya korosho ya euro 5 ni sawa na korosho ya shilingi elfu 20 Tanzania wakati sisi ndiyo walimaji,hii si sawa,kuna tatizo mahali.
  10. F

    Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

    Naunga mkono hoja,huyu ni mmoja wa watu walionishawishi kujiunga na jamii forum, sijawahi kulipita bandiko lake na huwa nasoma bila kuruka hata mstari mmoja.Hongera kwake.
  11. F

    Washika dini na wasioshika dini ni wepi wanaoishi kwa amani zaidi?

    Wakati mwingine tatizo unakuwa nini wewe mwenyewe,hii dunia haina tatizo kabisa kama utaamua kufuata maadili na kujua NINI MAANA YA MAISHA ,HAPO UTAJUA NI VIPI UISHI.Hakuna kitu kizuri kama kuishi kwenye mstari.Halafu hutokata tamaa ,hiyo kauli ya kila kitu ni tatizo hiyo ni FED UP,mwenye...
  12. F

    Washika dini na wasioshika dini ni wepi wanaoishi kwa amani zaidi?

    Kwanza kabisa jua tafasiri ya dini,jibu ni mfumo wa maisha uliowekwa ili mwanadamu aufuate.swali nani aliyeuweka jibu ni mwenyezi Mungu .nini faida ,dini.Angalia madhara ya kila kilichokatazwa katika hii dunia,MADHARA YA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE,MADHARA YA ULEVI,MADHARA YA KAMALI,UZINZI,UONGO...
  13. F

    Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Hebu tuambie ulikuwa dini gani,ukweli tatizo siyo dini .Tatizo ni dini uliyokuwa unaitumikia,kuna masikini wengi tu na hawana dini na kuna watu wengi waliofanikiwa kimaisha ni waumini wazuri tu wa dini,ungefanya research ya kutosha sana kabla ya uamuzi wako usije rudi uzeeni kama mzee wetu...
  14. F

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    kwa haya yanayoendelea sasa hivi utakwenda kufa tu mkuu.ngoja uone 2025 nani anaingia ndiyo uanze michakato.
  15. F

    Mwandishi wa Mwananchi akamatwa kisa kampiga picha Makonda eneo la kutangazia matokeo

    kweli si mchezo,wanafanya watu wajipatie sifa za utabiri yaani kila baya linalotabiriwa basi na watawala wetu wanaenda kufanya vile vile,au labda wanafanya kusudi ya kwamba" si mnasema hivi basi tunafanya hivyo hivyo ili tuone mtafanya nini'' maana si kawaida hata kama ni kweli wamefoji vyeti...
Back
Top Bottom