Wanahisa wa kampuni ya TBL ambao gawio lao la mwaka hutoka tarehe 24 December kila mwaka wanahaha baada ya tarehe hiyo kupita bila kupata gawio.
Kampuni hiyo mpaka leo haijatoa Maelezo.
Kwa Wanahisa kwanini gawio halijalipwa licha ya mahesabu ya mwaka jana kuonyesha faida .
Wanahisa wengi...
Mwezi wa sita sasa mkandarasi anawejenga njia ya maji taka hajafika hata mita mia. Inasemakana analindwa na wakubwa.
Kachimba Mashimo mpaka kuta za fence za wakazi zinaanza kubomoka na hakuna kazi inayoendelea.
Akiulizwa anasema yeye anakula na wakubwa hakuna wa kumgusa.
Nchi hii imerudi...
To top it all dividends are doled out on the 24th of December like Father Christmas sweets. Which can’t do any good to any company which has to invest and expense by end of the year.
Tanzania breweries company on surface is one of Tanzania’s most profitable company.
But deep under it’s shares haven’t traded for years under the pretext that they are resolving tax matters with the government.
The Tanzania stock exchange has been silenced on this while shareholders are...
Siku ya pili leo waya zimekatika kwenye line ya kutoka Hindu hospital kwenda Bugando Hospital hapa Mwanza.
Nyaya
zinaning’inia na kuhatarisha maisha.
Cha kushangaza gari la Tanesco emergency linapita maeneo hayo hayo. Ukiwauliza wanasema hawana taarifa rasmi.
Ukipiga simu ya emergency...
Haiingii hakilini kwamba maji yote yanayotokea mwananyamala, regent street yanaleta mafuriko mtaa wa Chato hata kama mvua ni manyunyu bila hatua zozote kuchuliwa.
Hao TARURA wako wapi. Au ndiyo juhudi za kukwamisha kasi ya awamu ya sita.
Wakati huu wa Christmas wasafiri wa ndege kwenda Mwanza wanakosa ticket kwa kuwa ndege zimejaa.
Hivi Air Tanzania hawaoni fursa ya biashara kuongeza ndege?
Miezi miwili sasa kumewekwa kifusi hakuna kinachoendelea kwenye shimo.nyuma yake mkandarasi alikuwa anajenga mitaro sasa hivi kasimama.
Alternative road nyuma ya hospitali ya Kairuki kuna mashimo balaa.
Waziri yupo.TARURA wapo.nini kinaendelea wanyonge tunapata taabu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.