Kwanini Air Tanzania isiongeze flight kwenda Mwanza?

Kwanini Air Tanzania isiongeze flight kwenda Mwanza?

fire and fury

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
12
Reaction score
3
Wakati huu wa Christmas wasafiri wa ndege kwenda Mwanza wanakosa ticket kwa kuwa ndege zimejaa.

Hivi Air Tanzania hawaoni fursa ya biashara kuongeza ndege?
 
Labda zilizopo zipige ruti 8 kaa siku. 4 kwenda na 4 kurudi.
 
Back
Top Bottom