Wanahisa wa Tanzania breweries Ltd wakosa gawio

fire and fury

Member
Jan 8, 2018
12
2
Wanahisa wa kampuni ya TBL ambao gawio lao la mwaka hutoka tarehe 24 December kila mwaka wanahaha baada ya tarehe hiyo kupita bila kupata gawio.

Kampuni hiyo mpaka leo haijatoa Maelezo.

Kwa Wanahisa kwanini gawio halijalipwa licha ya mahesabu ya mwaka jana kuonyesha faida .

Wanahisa wengi wanasota kutafuta hela za sikukuu za mwisho wa Mwaka.

Wengi wanalaani kuwekeza kwenye hii kampuni kwani hisa zake zimekuwa haziuziki kwenye soko la hisa, licha ya sasa kukosa na gawio.
 
Back
Top Bottom