fire and fury
Member
- Jan 8, 2018
- 12
- 3
Haiingii hakilini kwamba maji yote yanayotokea mwananyamala, regent street yanaleta mafuriko mtaa wa Chato hata kama mvua ni manyunyu bila hatua zozote kuchuliwa.
Hao TARURA wako wapi. Au ndiyo juhudi za kukwamisha kasi ya awamu ya sita.
Hao TARURA wako wapi. Au ndiyo juhudi za kukwamisha kasi ya awamu ya sita.