Recent content by Fintan20

  1. Fintan20

    Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

    Mara mia hivyo kuliko kumpeleka mtoto shule ambayo serikali yenyewe Haina muda na hao walimu SHULE ZA SERIKALI NI UOZO MTUPU.
  2. Fintan20

    Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Hata wasipowaambia hawana uwezo wengi kutokana na Mila za huko watoto wakike wanaharibika mapema. Chumvi ina thamani kuliko mwanamke huko, walioishi lindi na mtwara wanalifahamu hilo.
  3. Fintan20

    Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

    Kama ana uwezo. Na huyu mtoto yupo ana miaka 5 yupo la pili.
  4. Fintan20

    Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

    Hakuwa bogus ni vile ujasoma tu vzuri mkuu.
  5. Fintan20

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Mkuu nitarudi hapa kusoma vZuri kuna hoja unajaribu kuijienga najaribu kuelewa, nitakuja hapa unieleweshe
  6. Fintan20

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Wewe BBC ipo ilikuwepo utaiacha. TB alikuwa tapeli MBAKAJI, muongo https://youtu.be/fuxVmBaiRzE?si=WLrE6QRqo8DGofvd
  7. Fintan20

    Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Huyo kenge alienda Singapore akachelewa kupanga watu. Hao viwete aliwaombea lakini wapi akabaki anachukia. https://youtu.be/fuxVmBaiRzE?si=WLrE6QRqo8DGofvd
  8. Fintan20

    Naomba connection ya ajira Canada

    Nakubaliana naye maana mshkaji wangu katengeneza picha ya hivyo hivyo
  9. Fintan20

    Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

    Mkuu kumbe hata kwa wasanii wa mbele wanakutana na hizi changamoto?
  10. Fintan20

    Chino akizungumza kitu kilichomvunja moyo sana na kuwa dissapointed

    Njaa mkuu si kitu kizuri. Hao wote duniani huko wanapigana sababu washashiba😂😂
  11. Fintan20

    Naomba connection ya ajira Canada

    Hapo sawa nimekuelewa,hata mwanzoni nilivyoangalia nilihisi hivyo
  12. Fintan20

    Naomba connection ya ajira Canada

    Mkuu hizo picha zimepigwa muda tofauti? Mmoja ana kauchebe, mwingine ana. Mmoja ana dimpoz mwingine hana.
  13. Fintan20

    Naomba connection ya ajira Canada

    Mbona kama tofauti mkuu, au?
  14. Fintan20

    Naomba connection ya ajira Canada

    Kweli madam nimeona. Ni tofauti
Back
Top Bottom