Recent content by Finder

  1. F

    Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    kama unauelewa wa kina ni bora ueleze hapa kwa kina ili tusiojua tujue kabla ya kuifanya hii project.
  2. F

    Wale WA inter Milan njooni hapa

    hakuna mwenye link wa kuangalia hii mechi live, atupie hapa
  3. F

    Ada na gharama za kumsomesha mtoto English medium kwa miaka 4 ni milioni 10. Atachoambulia huko unakipata kwa Ras Simba kwa mwezi mmoja tu kwa laki 2

    Unaweza mfundisha mwenyewe kusoma na kuandika kuepuka gharama zingine afu ukamfungulia biashara aendeshe, matajiri wengi hawajasoma sana, kupanga ni kuchagua. Kila mtu ashinde mechi zake.
  4. F

    Msaada kwa wanaofahamu package ya Bima ya Afya ya watoto

    Hapo lazma upate wenzako mtaani muungane ili muombe kwa pamoja.
  5. F

    Msaada kwa wanaofahamu package ya Bima ya Afya ya watoto

    Bima ya watoto ile ya 50400/= kwa mwaka imeondolewa, kwa sasa ukitaka bima utapaswa kusajili kwa vikundi vya watotobkadhaa(sifahamu wangapi), fuatilia shuleni anakosoma mwanao waweza jua wanaohitaji ili mjiunge.
  6. F

    Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

    Kitandani hampewi haki yenu sawa!??!!!
  7. F

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Maelezo yako kuna mahala hayakosawa na mapendekezo hayo, hata hivyo bado hayajapitishwa ila ni maoni ya awali kabsa,
  8. F

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Haya bado sio mabadiliko ila ni mapendekezo hata kwenye Tovuti bado hayajawekwa, mleta mada hajaelezea vizuri hapo
  9. F

    Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Mleta mada kuna mahala hujaelewa vizuri, Somo la Civics na General study yatafutwa ila kuna somo la Historia ya Tanzania na maadili ndio litakuwa na maudhui ya hayo masomo yaliyofutwa. Lakini pia bado haujapitishwa, imetolewa kama maoni kwanza, ili wadau wapitie watoe maoni yao na kukosoa...
  10. F

    Nimeanzisha twisheni baada ya kukosa ajira. Naombeni ABC

    Bei inategemea na eneo, huku mjini mtoto wa sekondari analipa 30k kwa mwezi masomo matatu inategemea lkn na eneo husika na aina ya mtoto. Advance tumia uzoefu wako kipindi unasoma ilikuwaje bei, mara nyingi hapo bei huwa per topic ama sub topic lkn bei pia itaendana na eneo
  11. F

    Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Linafutwa lakini maudhui yake yatakuwa katika somo la Historia ya Tanzania na maadili. Hata hivyo bado haijawa rasimi inaweza kupingwa na wadau wa elimu, tusubiri
  12. F

    Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

    Iko vizuri na hongera, ila nimejaribu kuwaza hivi; Vipi kwa kazi ambazo hazijatangazwa! Mfano mtu katoka chuo hana experience na anaomba kazi japo hakuna tangazo la kazi hiyo.
  13. F

    Wazo la channel ya youtube

    Kwa sasa football naona inafanya vizur
  14. F

    Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

    Pongezi sana kazi nzuri fanyia kazi maoni ya wadau
Back
Top Bottom