Msaada kwa wanaofahamu package ya Bima ya Afya ya watoto

Mpulanga

Member
Feb 18, 2019
7
3
Naomba kwa wajuzi wanao fahamu kwa sasa package ya bima ya afya ya watoto iliyopo na gharama zake maana kila nikifatilia sipati muafaka.
 
Bima ya watoto ile ya 50400/= kwa mwaka imeondolewa, kwa sasa ukitaka bima utapaswa kusajili kwa vikundi vya watotobkadhaa(sifahamu wangapi), fuatilia shuleni anakosoma mwanao waweza jua wanaohitaji ili mjiunge.
 
Ndo kwanza ana miezi mitatu ndugu
 
Back
Top Bottom