Katika Ibada ya Christmas 25.12.2014, Askofu Kakobe alisema wakati wa Bunge la Katiba, CCM ilikuwa tayari kufuata kura chache Mecca, Saudi Arabia, kwa kutafuta maslahi yao, lakini siyo kwa sababu inafurahia kuona kila Mtanzania mwenye sifa ya kupiga kura, anapiga kura, ndiyo maana kuna mizengwe...