Mustakabali wa taifa hautegemei ''NDOTO'' ,unategemea UWAJIBIKAJI wa kila mwenye WAJIBU ili kujenga taifa bora. NDOTO ni maluwe-luwe tu ambayo humtokea mtu yeyote hata mwenda-wazimu.
Ukawa ni kikundi cha wanasiasa wenye lengo moja, sasa anataka Mrema awe pamoja nao wakati yeye ana malengo tofauti na wenzake? Kisa ni muanzilishi wa upinzani? Kobe kasha zeeka sasa
Wana Ukumbi,
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu
mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto
nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya
wananchi.
Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya
jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi
uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama
kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.
Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa
mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa
upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi
kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.
My take,
Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya
kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya
kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.
Ushauri wangu kwa Kakobe:Shughulika na wito wako (mambo ya kiroho) ni vigumu kutumikia mabwana 2.
Wana Ukumbi,
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.
Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.
Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.
My take,
Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.
Moderator, Mtoa mada ameandika hapa UONGO WA MWAKA. Mimi nilikuwepo katika Ibada ya leo kwa Kakobe, na Askofu Kakobe hakuzungumzia hata neno moja la siasa au lenye "implication" ya kisiasa. Muda wote amezungumzia umuhimu wa Wakristo kuhubiri pia Injili mahali pengine mbali na eneo la nyumbani kwao walikozoea kuhubiri. Kichwa cha somo kilikuwa "NIPATE KUHUBIRI HUKO NAKO" na Neno la Msingi lilitoka katika MARKO 1:35-38. Moderator ondoa uchafu huu hapa, kwa sababu kila aliyekuwako katika ibada ya leo atashikwa na mshangao mkubwa kuuona uongo huu hapa!
Kakobe Alishawahi kumpigia Mrema kampeni mwaka 2000 na akasema atashinda....Kakobe huyu huyu.
Alishawahi kusema umeme hautapita katika eneo lake....na wakilazimisha hautawaka, akawakusanya washirika wake na kuwavalisha t shirt za kupinga ufisadi...walikuwa wakikesha usiku na mchana kuhakikisha kwamba umeme haupitishwai hapo lkn umeme ulipitishwa na unawaka kama anabisha akashike waya zilizopita hapo kwake....huyo ndiyo Kakobe,
Jambo jingine angemshauri Mrema asijikombe kwa CCM kwa ajili ya kutaka kulipwa mafao yake...
Pia Mrema aache kuikejeli upinzani. Halafu jingine Mrema amesema hataki uwaziri kivuli kwani alishawahi kushika uwaziri kamili na kivuli siyo dili kwake
Moderator, Mtoa mada ameandika hapa UONGO WA MWAKA. Mimi nilikuwepo katika Ibada ya leo kwa Kakobe, na Askofu Kakobe hakuzungumzia hata neno moja la siasa au lenye "implication" ya kisiasa. Muda wote amezungumzia umuhimu wa Wakristo kuhubiri pia Injili mahali pengine mbali na eneo la nyumbani kwao walikozoea kuhubiri. Kichwa cha somo kilikuwa "NIPATE KUHUBIRI HUKO NAKO" na Neno la Msingi lilitoka katika MARKO 1:35-38. Moderator ondoa uchafu huu hapa, kwa sababu kila aliyekuwako katika ibada ya leo atashikwa na mshangao mkubwa kuuona uongo huu hapa!
Wana Ukumbi,
Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.
Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.
Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.
My take,
Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.
Mwaka 1995 kakobe alisema mrema asipo shinda hataingia tena kanisani maana alikua mpambe wa mrema na akashindwa uchaguzi;kwa sasa kakobe anaongoza kanisa mpaka leo
Mkuu tuwekee ushahidi,maana kakobe alipoiandikia ikulu waraka uliwekwa hapa,na wewe ili hoja yako iwe na mashiko tuwekee hapa clip ya ujumbe wa kakobe kwa ukawa.Wana Ukumbi,