Awamu ya Tano inanuka Damu! Kitu pekee walichoweza kuchunguza ni siku ambazo T. Lissu hakuwepo bungeni. Ila wasiojulikana mpaka leo imeshindikana. HAKI YA MNYONGE HAIPOTEI HATA KAMA ITACHELEWESHA.
Waziri Kangi Lugola amewasimamisha kazi mkuu wa Polisi, mkuu wa kituo cha Polisi na mkuu wa upelelezi wa Wilaya ya Geita kutokana na mahabusu kutoroka mahakamani. Pia ameelekeza askari 8 wa kituo hicho wawekwa mahabusu.
Imekua kawaida binadamu akipewa madaraka kutumia fursa hiyo kukandamiza wengine. Kufukia Juni 1 mifuko ya Rambo haitatakiwa kutumika tena. Kuna watu wamepewa dhamana ya kukagua mifuko ya rambo sehemu mbalimbali. Nimeona niwasogezee kanuni wanazopaswa kuzifuata Wakaguzi hawa ili kila mwananchi...
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)
Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio...
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)
Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio...
UKATILI WA POLISI
DHIDI YA RAIA
NINI KIFANYIKE KUTOKOMEZA?
FIKRA ZANGU
Ukatili wa jeshi la polisi dhidi ya raia
Mwanaharakati mmoja nchini Marekani kwa jina Alfred Charles Sharpton aliwahi kusema hivi;
“Many in our community have to live in...
Habari zenu wana JF?!
Nina tatizo la kiafya nalo ni kuota kwa kokwa la tatu ndani ya korodani. Kama tunavyofahamu, korodani huwa na kokwa mbili. Hivi karibuni nimeanza kuhisi kuota kwa kokwa la tatu upande wa kushoto.
Kokwa hili nikiliminya kidogo linaleta maumivu. Nimejaribu kugoogle na...
Habari zenu wana JF?! Nina tatizo la kiafya nalo ni kuota kwa kokwa la tatu ndani ya korodani. Kama tunavyofahamu, korodani huwa na kokwa mbili. Hivi karibuni nimeanza kuhisi kuota kwa kokwa la tatu upande wa kushoto. Kokwa hili nikiliminya kidogo linaleta maumivu. Nimejaribu kugoogle na majibu...
Being colonised is not a factor for being weak. Kumbuka hata mmarekani alitawaliwa na Mbritish kabla ya kupata uhuru wake 1776. Angalia Marekani alipo sasa! Kamuacha mbritish kwa maendeleo.
Mkuu umeibua hoja nzuri sana. Nataka nikufahamishe tu kuwa kama tukitazama kwa hoja yako hiyo ya Upendeleo basi Mungu alitupendelea maarifa sisi waafrika ila tu hatuna juhudi hasa kizazo hiki cha sasahivi.
Mwandishi Walter Roodney aliwahi kuandika kitabu cha HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA...
Unapozungumzia hotuba nzuri sijui unazingatia vigezo gani. Namkumbuka idd Amin, Adolf Hitler na Musolin. Hawa walikuwa na hotuba zilizoshika masikio ya wengi lakini historia inajieleza ni nini kilizipata nchi zao kutokana na utawala wao. Kuna tofauti kati ya hotuba ya kiongozi na hotuba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.