Recent content by FikraChanya

  1. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Kiltila Mkumbo: Tunahitaji chama kitakachopigania Unyerere, kupinga ubwanyenye

    Nadhani ingekuwa vizur zaid ungetueleza hiki Unyerere ulifanikiwa kwa kiasi gani (Akiwa madarakan kwa zaid ya miaka 20). Pia ungetueleza ni jinsi gani azimio la Arusha lilishindwa. Uende mbali zaid utuelenze ni nchi ngapi/zipi Africa zimefanikiwa sana kwa kufuata sers ya mlengwa wa kushoto...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ccm imeshinda uchaguzi mdogo jimbo la kiembe samaki.

    Unayo hoja kwa sababu kuna wengine walishapoteza viambulisho, wengine wamekufa....na daftari halijawahi boreshwa. Ukweli siasa za zanzibar ni ngumu sana kwetu chadema, tukubali CUF wanajaribu japo kwa sasa wanaendelea shuka chini. Chadema wekeza zaid Tanganyika
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    Tatizo la system inayotumika kuendeshea kura ya maoni haiko under control, mtu mmoja anaweza piga kura mara nyingi awezavyo, so no reality there. January Makamba, Membe, na Nchimbi ni juniors....watanzania hawawezi kuwa na tumaini mfuu kiasi hiki....Fedrick SUmaye ana ahueni kuliko Sita na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

    Hoja nyingine bhana, sasa kama mnaona BAKWATA mbaya si mvunje...Eti tena hapo unahitaji uanzishiwe chombo kingine, si utatsema tena kimeanzishwa kisiasa...full contradictions...Nonsense
  5. F

    JamiiForums Tanzania Lema anafaa kuwa waziri wa wizara ipi kama CHADEMA wakipata madaraka?

    Ilikupasa uelewe kwanza matakwa ya katiba inayokuja...rasimu inaonyesha mawawaziri hawatotokana na wabunge...so chadema itakuwa na uwanja mkubwa kuteua mawaziri nje yaq wabunge (Just like Kenya)...Lema atarudi bungeni
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

    Zito tayari alikuwa maarufu na anajifanya mwamba...sasa kwanin asitumie uwezo wake kushawishi wanakigoma? hata mgombea wa ccm alikuwa ameng'ang'ania...eti tofauti ya about 3000? Hebu nenda kwa Myika aliwafanya nini magamba? Tena wakati huo akiwa junior kabisa...learn to argue
  7. F

    JamiiForums Tanzania Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    kwa kifupi kifo cha Sokoine kilipangwa kitaalam kuliko wengi tujuavyo. Sokoine alipigwa lisasi kwanza ndo akagongwa na gari ili kupoteza ushahidi....hata uchunguzi wa dactari ulithibitisha kuwa mwili ulikuwa na tobo ya lisasi, na alivytaka kutoa taarifa akafungwa mdomo, vinginevyo na yeye...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu afichua siri ya usaliti CHADEMA. Chanzo ni kutoaminiana na kukosekana kwa uvumilivu

    Nelson Mandela alisoma law (Bachelor) kwa kipindi cha miaka 50, Huku akifail takriban nusu ya masomo yake....lakin sasa Dunia inamheshimu mandela kwa kufanikiwa leta ukombozi na umoja SA....nadhani unapata picha sasa uwezo hauko kwenye kukariri (vyeti)...Pia usishangae hata ukienda kwenye...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Wilawela Anashindwa elewa hata mambo madogo tu huyu Dr au ni upotoshaji wa wazi...Aksante kamanda kwa kumjibu...."".....Dr.Slaa aliwazuia wana CDM kuhudhuria mikutano ya MM kwa capacity ya Naibu Katibu Mkuu Bara au NKUB au mjumbe wa CC na siyo Kama mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA/Mahakama)'''...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Namshanga analia kuhusu matusi/kejeli wakati walaka wake ni matusi na kejeli/vijembe....mbaya zaidi yeye ni PHD holder, sasa sisi standard seven si ndo tutatukana zaid??? Asilie lie ooh matus wakati hata hoja za msingi na maswala magumu hajibu...Mwaisi wa matusi ni yeye
  11. F

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM, CHADEMA (Sehemu ya Pili)

    Napata shida sana na mashaka makubwa juu ya hoja zako. Katika hoja yako umejikita zaidi kukosoa/shambulia Chadema na CCM. Na katika hitimisho lako tata unasema "tunahitaji mbabadala wa chadema na CCM" bila kutuambia tunapata wapi huo mbadala, je ni kwa kuanzisha chama kipya au kusupport chama...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuua ndege wawili kwa jiwe moja?

    Asiposhinda? Aspogombea?...Akifa?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar muungano tutaununua...

    Nakumbuka nilikutatana na Mtkila kwa mara ya kwanza 9 Dec 2004 nikiwa mwanafunzi wa kidato cha 4, Mzee huyu alikuwa akihutubia watu (Tena vajana walevi wasiozidi) hata kumi katika viwanja vya shule ya kikundi-Moro, Nilishangazwa sana na ujasiri wa mzee huyu, kwani pasipo kujari uchache wa watu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Mwaka 1995 Mhe Lowasa alikuwa mmoja kati ya watu waliochukua form kugombea URAIS, akarudisha form kwa mbwembwe kwa ndege ya kukodi, Mwl JKNyerere akamuliza na wewe Lowasa unataka urais? Umeacha wizi lini? Na tena hujawa rais unakodisha ndege, ukiwa rais itakuwaje? Lowasa akajitoa kwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    hakuna hoja ya msingi hapa, unakiri kuwa m/kiti anaushawishi mkubwa cc, vema, lakini umesahau kuwa cc imejaa watu makini ambao hawako upande wa ZZK. watu hawa wanaushawishi wa kutosha si kwa baraza kuu tu bali kwa wanachadema walio wengi...Takutajia majina machache tu...Katibu mkuu Dr Slaa...
Back
Top Bottom