Recent content by figisi

  1. F

    Kama Rais Magufuli anatafuta sifa ni heri iwe hivyo

    MM NAJIONEA SARAKASI TUPU,HIVI UNAPUNGUZA PAYEE KWA 2% KTK MSHAHARA WA MFANYAKAZ BILA ONGEZEKO HII HAISAIDII,KWA KIMA CHA CHINI 2% NI SAWA KAONGEZA KM ELF MBILI.
  2. F

    KUB Mbowe anapwaya bungeni?

    Hujitambui dogo acha ushabiki katiba ni sheria mama unapoivunja ni sawa na kumchungulia mzazi wako bafuni.
  3. F

    KUB Mbowe anapwaya bungeni?

    Kweli alietuloga watz alikufa.
  4. F

    KUB Mbowe anapwaya bungeni?

    KWELI WW KILAZA,KATIBA INAVUNJWA UNACHEKELEA JAPO KATIBA YENYEWE MBOVU JAPO HAO MACCM WANGEIHESHIMU LAKINI WANATAMANI WAIFUTILIE MBALI.
  5. F

    Bunge la wala rushwa, nani ataisimamia serikali?

    KWANI HAMJUI MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO,CCM 50%NI WAPIGAJ.NDO URITHI WAO.NAPENDA WAENDE SEGEREA.
  6. F

    Arusha: Kabla ya Chaguzi za Serekali ya Mitaa CCM yakataliwa

    MM NINACHOONA HADI SASA NI SARAKASI NDANI YA SEREKALI,KWANI BADO MTANZANIA ANAMAISHA MAGUMU SANA NA SIONI DIRA ANAKOMBOLEWA VP,NI SARAKASI TUPU.
  7. F

    CCM iwasimamishe/iwavue uanachama wabunge (majipu) wote wala Rushwa

    Kwa ccm hilo ni sawa na jua litoke kusini lizame kaskazini.
  8. F

    Mawaziri wa Magufuli maji mazito au mgomo baridi?

    Wengi wao ni vilaza,!fatilieni mtaamini.
  9. F

    Tetesi: Siri ya Matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar yaja juu

    Inawezekana maana kiukweli idadi ya watu waliojitokeza ilikua ndogo sana. Ipo cku wataumbuka.
Back
Top Bottom