Bwana yesu asifiwe, Assalam Aleykum .
Jamani ndugu zangu mliopo humu nimekuja kwenu kuomba kazi aina yoyote ile sichagui kazi.
Elimu form 4
Umri 24
Naishi kibamba Dar es salaam
Hatakama nje ya nchi nipotayari
Ninayo International pass.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa zangu habari za majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,
Mimi ni kijana wa miaka 24,
Elimu yangu form 4,
Jinsia ya kiume
Mzaliwa wa Dar es salam.
Naombeni kazi ndugu wana jamii forums kazi yoyote naweza kufanya ila isiwe ya haramu
Hata ikiwa nje ya nchi nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.