Nakupata lakini jua tu kuwa sijaamua kuzungumza kama mwanasiasa. Nimejibidisha sana kusoma historia za nchi mbalimbali kiuchumi. Nchi zote zimeendelea kwa namna moja tu ambayo sisi hatutaki kuifuata. Soma Japan ilivyoweza kuwa kinara wa automobiles mbele ya watu walioanzisha technolojia hiyo...
Ni kweli unachosema lakini unakuwa na nguvu pale tu unapojitegemea. Sisi hatujafika kiwango cha kujitegemea nakuwa na nguvu ya kuwa na kiburi. tunahitaji vitu vingi toka kwa wenzetu. Kama misaada inavyohitajika kuja kwetu basi na dhahabu zinahitaji kwenda zinakotakiwa duniani. Huo ni utaratibu...
Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu.
Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60.
Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
Mimi naona akili yako wewe ni ndogo sana ndio maana unahisi umezidiwa sanaa na mkuu. ukiwa na akili kama sisi wengine utajikuta unalingana na hata huyo. Anza kusoma vitabu ila cha muhimu zaidi acha ushamba
ukitaka uishi na mwanamke kwa raha uwe unamsababishia taabu kwa muda wa mwezi kisha raha miezi mitatu. cycle iwe hvyo mpaka azae watoto 5 na kuzeeka. vinginevyo hawapendi raha hawa
ROHO YA WEWE JAMAA NI YA KICHAWI. NA SIDHANI KAMA KUNA MCHAWI ANAYEKUZIDI WEWE. MTU ANAWAFUNGA WAZUNGU KIASI HIKI WEWE BADO HUONI? WIVU KAMA HUO UTAKUFANYA UFE MAPEMA
TOKA NIZALIWE SIJAWAHI KUONA KENGE KAMA WEWE. MTU ANAPIGA GOLI MBILI UGENINI DHIDI YA BESKITAS BADO HUONI KUWA NI SUPER? HIVI ROHO YA WIVU KAMA ULIYONAYO WEWE IPO MAHALA PENGINE DUNIANI? UNAKERA SANA. WEWE NI MCHAWI
yote haya unayafikiria kwakuwa umekosa kazi ya kufanya. serikali ikazane kufungua fursa kwa viajana maana ubongo wote huo unautumia kufanya filosofi zisizo na msaada
Mijadala kama hii inatokana na ukosefu wa ajira. vijana wanajadili ujinga kama huu. kwahiyo mnalazimisha Dreamliner kwenda? serikali imeangalia mambo mengi bila shaka. nyie mnaangalia myopically
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.