Recent content by fierceman

  1. fierceman

    JamiiForums Tanzania NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    Dah...ni average gani? Nilikosea mkuu
  2. fierceman

    JamiiForums Tanzania NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    Hivi ni mwisho grade gani mtoto anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza?
  3. fierceman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hili lina ukweli wowote?

    Eti mtu asipocheza (asipokuwa mtu wakupenda wanawake sana) ujanani basi atafanya uzeeni? na je akicheza ujanani basi atatulia uzeeni?
  4. fierceman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi siku hizi mmegoma kuzama chumvini?

    Tunalamba chumvini alaf bado mnatusaliti....nyie mnazani sisi ni mazombie
  5. fierceman

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    mkusanyiko na kuenea kwa covid19 uhusiano wake uko wapi unaweza nielezea?
  6. fierceman

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    Sio kweli hata zingeliwahi kama uelewa wa watu juu ya kujikinga na ugonjwa huu ni mdogo basi lingeingia tu hili gonjwa
  7. fierceman

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    hapana lakini wewe unadhani kufunga masoko na minada na shughuli zingine linawezaje kuwa solution ya tatizo?
  8. fierceman

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

    Nchi ngapi zimefanya unachoshauri wewe na bado vifo na maambukizi viko kwa kasi..kufunga masoko na minada si utatuzi
  9. fierceman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti hiki ndicho kinachowakera wanaume kutoka kwa wadada?

    Eti hiki ndicho wanawake nao wanachukizwa eti kumuomba namba kisha umtongoze
  10. fierceman

    JamiiForums Tanzania Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

    ahsante sana mkuu
  11. fierceman

    JamiiForums Tanzania Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

    Ahsante mkuu kwa ushauri wako
  12. fierceman

    JamiiForums Tanzania Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

    Msaada kwa anayefahamu App ya kupata mitihani ya NACTE kwa course ya Clinical Medicine kwa iliyofanywa kipindi cha nyuma
  13. fierceman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Honestly, wanawake WEUSI hamtamanishi kitandani

    Hivi uko wodi gani vile?
  14. fierceman

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ipi nisome kati ya hizi mbili?

    wewe moyo wako unakuambia kipi usome? kile moyo wako ukuambiacho ndicho sahihi na mafanikio yako hapo moyo wako ulipo...ko take care of it bro
  15. fierceman

    JamiiForums Tanzania Ni kozi ipi nzuri itakayoweza kumsaidia kwenye maisha yake baadae?

    kusoma ni kama majira tu hivyo hivyo kozi za kusoma hubadilika soko kulingana na wakati...ila kwa yeye huyo akasome business and marketing kozi ni biashara tu itamfaa
Back
Top Bottom