Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

Napataje mitihani ya NACTE ya Clinical Medicine mtandaoni?

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
553
Reaction score
758
Msaada kwa anayefahamu App ya kupata mitihani ya NACTE kwa course ya Clinical Medicine kwa iliyofanywa kipindi cha nyuma
 
Mtandaoni sijuii
Ila Kuna magroup Ya CLINICIANS ukibahaitka Unawaomba Wanatuma
 
Back
Top Bottom