Coronavirus: Rais tangaza hali ya hatari nchini

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Namshauri Rais kwa kasi hii ya maambukizi, tena mbaya zaidi kwa mara ya kwanza huu ugonjwa utafika vijijini

Namuomba mh Rais atangaze hali ya hatari ili kila mtu akae chonjo na vyombo vya dola viingie kazini kusaidia kudhibiti maambukizi

WHO walionya Afrika maambukizi Afrika kufika vijijini, sasa naamini Tanzania yatafika vijijini ndani ndani

Pia serikali itangaze kuanzia sasa hakuna mikusanyiko kwenye mazishi na yeyote atakayefariki kwa ugonjwa wowote asizikwe bila kupimwa na wanafamilia wanapaswa wawe makini na mgonjwa wao ambae ataugua kwa ghafla kuanzia sasa, watumie kinga kuwashika au kuwahudumia wagonjwa majumbani

Elimu ya ugonjwa huu itolewe vijijini kwa kasi, Yale maspika makubwa yanayofungwa CCM mbele kwa mbele, muda ndio huu yapite kila siku mitaani na vijijini kutoa elimu

Masoko na minada isitishwe, muda ndio huu
 
Nchi ngapi zimefanya unachoshauri wewe na bado vifo na maambukizi viko kwa kasi..kufunga masoko na minada si utatuzi
 
25151D56-2D77-4C95-B095-4B00664E2CAA.jpeg
 
Yeye masikio yake yote kayatega asikie katokea babu wa kikombe anatibu corona uwone atakavyotoka mbio huko mafichoni kuwahi kikombe.
 
Ila mpaka sasa tushachelewa japo sio sana ila we are late kias fulani
 
Back
Top Bottom