nashukuru sana jamani kwa ushauri wenu, hakika umenijenga na umenifudisha pakubwa sana, na wale mulionitukana mungu awabariki na awape maisha marefu, pengine hamujaona changamoto za maisha me siwashangai.
Ikiwa ni mwaka wa pili sasa tangu nijiunge na chuo hiki Cha udom, naona maisha yanazidi kuwa magumu kila uchao ni bora ya jana, hali inayonifanya nisononeke sana na kutaka kuacha masomo Kwani kila jitijada ninayofanya najikuta imegonga mwamba,
Nilimaliza form six 2013, nikafauru hivyo nikaaply...
Hivi wewe hujaenda bodi ya mikopo ndo maana unataka kuappeal aise pale wanasema Hivi jpm amepeleka hela nyingi sana ila wanataka kazirudisha kwenye mfoko wa hadhina hazina pa kwenda kwan wanafunzi wote wamepata mikopo, ndo uone sasa upuuzi wa bodi ya mikopo.
Jaman samahannn
Pole sana mwanafunzi wa udom, lakin bora wewe umesain uhakika wa kupata upo ngd kunawatu tunakula mavi hapa udom na hatujuwi hatima yetu sembuse na wewe tena umesain, dogo unakibari cha kuchukuwa hela kwa mtu na akakuelewa, kwa kifupi kunawatu tunakula mavi na hatuna namna.
Hizi porojo ndo tunataka tuzitafutie modarity nzuri ya kuziondoa, within this forum we have different people with different carriers and professionals so let's use this as stepping stone to solve our problems your's fieldmashal udom (education).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.