Recent content by fidodido

  1. F

    Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

    pamwiga acha uongo hujui mshahara wala posho ya polisi. mshahra ulioutaja nia RED BRIGADE YA CDM
  2. F

    King'amuzi cha Ting Tanzania kinafanya kazi au kwangu tu?

    mimi nimeamua kuachana nao kabisa
  3. F

    Saed Kubenea: Mbunge wa Ubungo aliyegeuka mkombozi wa Taifa

    k kwa hiyo ukidai kitu kimoja kama stand tayari una kuwa mbunge wa Taifa, kweli kuna watu wamelishwa limbwata na upinzani. Kubenea kafanya kipi cha maana mpaka aitwe mbunge wa taifa, du ama kweli bado ni shida
  4. F

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    labda hujamtosheleza kimapenzi. nakushauri uende google uandike Mombasa Raha positions utapata shule nzuri yaani kitchen party.Na utaweza kuhudumia vizuri kitandani.
  5. F

    Why UKAWA will loose the 2015 Election

    du! kaka, ukawa wakitajwa unakasirika lo! hiyo si demokrasia, unatakiwa uwe na ngozi ngumu
  6. F

    Maazimio ya kamati kuu ACT - Wazalendo haya hapa

    kaka usiogope kupakatwa , kama sera zenu za majimbo na ukabila ni choo basi msione karaha kwa kuchipuka chipukizi linaloeleweka
  7. F

    Operation TIGITIGI kwa Mikoa mitano yazinduliwa

    hiyo operation itawaTIGITIGI washirika wa ukawa na si vinginevyo. tunakutakia kila la heri ili ujustify ulaji wa hela za chama kupitia perdiem na si kuleta matunda. zote hizo ni njaa tupu kaka
  8. F

    Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

    mkuu umekosa kazi. Cv ya Gwajima ukiipata itakusaidia nini? unajifanya nfurukutwa wa Katoliki hata kanisani huendi, hata kitu alichoongelea Gwajima hukijui. Fanya kazi za zako ili uongeze kipato siyo kufuatilia cv za watu anza kuleta cv yako ya kuunga unga
  9. F

    Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    nyie ndiyo maana hamuaminiki kupewa nchi. badala ya kumwaga sera zenu mnakalia kuwaza mali za ccm. Mbona hamuulizi mashamba ya kahawa ya mwasisi wa cdm, mzee ... pale USA river Arusha
  10. F

    ACT Kigoma Walazimika kuhutubia kwenye Kijiwe cha Kahawa baada ya Mkutano kukosa watu

    nyie CHADEMA acheni siasa za maji TAKA , kwa sababu Zitto ameshaondoka sasa mnafuatafuata nini. kukosa watu kwenye mkutano si issue kwa sababu ndiyo mwanzo. kasome " Dreams from my Father" ya Obama alivyoanza alikuwa akiitisha mikutano hapati mtu, lkn later alikuja kuwa rais wa Marekani...
  11. F

    NEC: Kura ya maoni ya Katiba Mpya kusogezwa mbele

    kwani tarehe ikisogezwa kuna ajabu gani? inasogezwa tarehe ya uchaguzi wa Rais sembuse kura ya maoni
  12. F

    Watu wa usalama wa taifa fuatilieni huu uhuni unaofanywa na vijana wa Lowassa

    mkuu hiyo si kazi ya usalama wa taifa.
  13. F

    Girlfriend wangu kanibadilisha from looser she gave me life again

    halafu maisha yakichanua , utaanza kumsaliti na kuruka na machangu wengine, na kusahau kuwa kakutoa tongotongo. usisahau fadhila za huyo mwanamke . acha story za kwenye stuli ndefu kuwa dume lazima awe na mchepuko
  14. F

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Mwanga afukuzwa kwa mawe

    aise uwe unaandika issue zinazoleta mvuto. mimi nilidhani amefukuzwa kazi , kumbe kafukuzwa na wananchi kwa mawe. loo!!!
  15. F

    Nabii awapa mimba waumini wake zaidi ya 20, wakiwepo wake za watu huko nchini Nigeria

    huyo ni nabii magumashi:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Back
Top Bottom