Wanakera sana na wanaufahamu juu ya hili. Huo ni wizi wa kimacho macho kabisa lakini Serikali na watedaji wa taasisi zake kama TCRA wanasinzia tu maofisini. We are tired of this stupid game of Tigo.
Airtel yatosha !
Kiujumla kodi kama kodi haina tatizo, TATIZO ni iana ya ujanja ujanja uliotumika kuunda na kupitisha kodi hii. Wote tunapenda maendeleo ya taifa letu lakini aina hii ya tozo ni kumkandamiza mtumiaji wa huduma ya mawasiliano.
Lingine waugwana mnaounga mkono swala hili punguzeni siasa wekeni...
I do appriciate what Mr. Zitto did but honestly this is typically impossible and some of these issues we dont need to impose politics. That is convenant for Swiss Government. Nothing can be done there.
:)
Kafulila sio kila mwenye mdomo lazima aongee,tumia akili kufikiri japokuwa wengi tunajua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ila pata basi hata ushauri kwa mkeo ukishindwa kunyamaza... Utakuwa kibaraka hadi lini? wake up and stop your cheap politics your still young you can make it.
Thanks for the consideration of other thinkers because through this we can know what people think about their future as well as country's direction. Thank you once again.:wink2:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.