Ndoa nyingi zilizodumu na zinazodumu hazioneshi upendo wa kinafiki. Siyo lazima kama hajapendeza useme hujapendeza, unaweza tu kusema hayo mavazi hayajakupendeza na akakuelewa bila kuumiza hisia zake. Mbona wengi tu wanawapiga mke/ mpenzi na wakaendelea kupendana
Tatizo ni aina ya hoja walizonazo. Mfano ikitokea nitasema badala ya kuleta ndege wapanue miradi ya umwagiliaji kwa sababu ambazo nimelifanyia utafiti na ikawa na ushawishi kwa jamii nitakutana wapi na hizo risasi(hizo ni fikra tu ila sijalifanyia utafiti)
Sasa kama wenyewe tunasema bongo bahati mbaya tunategemea nn. Wazungu wametudumaza kwa kutuletea kinachoitwa democrasia na waafrika kushindwa kujua maana halisi. Tunahitaji mapinduzi ya fikra kwanza
Cha msingi tuachane na siasa za kupondana. Vyama vya upinzani ningewaona wamaana zaidi wakiweka sera zao na siyo kuponda tu. Waswahili wanasema nyani haoni kundule
Mimi kuna mmoja nimemPM tokea 30/1 hadi leo hajapata nafasi ya kujibu ila sijasumbua mademu, soon nitaanza kuwasumbua hadi waniblock wote ili niachane na PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.