Dada ugonjwa wa akili si kwamba wewe unaokota makopo au umechanganyikiwa la hasha, bali hata ile hali ya akili kutofanyakazi sawasawa tayari ni tatizo.
Kuna dalili umezitaja hapo kama ukiangalia tv huelewi kinachoongelewa au mziki unaona kama kelele na kichwa kuuma.
Cha kwanza unatakiwa...
Binafsi sina mapenzi sana na nyimbo za bolingo zaidi ya zile za zamani za Aurlus Mabele, pepe Kale etc kwa kujikumbushia makuzi yetu ila sasa Fally bwana kaniteka achana kbs na huyo jamaa.
My top hits toka kwake.
1. Associate
2. Maria PM
3. Mayday
4. Service
5. Original
6. Atante
7. Eloko...
Mkuu nakuelewa mwanaume anaumia sana akiwa na hakika "mkewe", narudia tena mkewe ameliwa na fulani hii huwaga haiishi milele hata kama ikitokea mmesameheana.
Mara nyingi matokeo huwaga ni hayo, mwanaume kubadilika sana, hasira zote anamalizia kwa wanawake wengine anakuwa Malaya sana, na...
Bro, hii album achana nayo aisee, ni chuma juu ya chuma R&B enzi hizo unaskia neno hadi neno mpka wimbo unaisha hujaskia neno F&#^ck, enzi enzi hizo kuna masister duuh wa kwenda muzee alafu wanajielewa na wanajua kuoga mzee baba achana na mabishoo nao ndiyo usiseme! Demu unafukuzia mwaka mzima...
Vipi tukimleta Aaliyah wa "Age ain't nothing but a number" ya 1994 Sisi kizazi cha early 80"s tutaonaonekana vikongwe? Kuna pini za maana sana kwenye hii album!
Upate mtu akuimbie sasa, huwa mnahisi mnaelea...! Ila nyimbo zote toka kwa hii album " All that I am" zilikuwa za moto mno hakuna wimbo wa ku forward,.
Kwa wale wa kizazi cha kabla ya Y2K watakumbuka miaka ya 90 hadi mwanzoni mwa 2k kulikuwa na nyimbo kali sana za R&B.
Kuna baadhi ya nyimbo ukisikiliza zinasisimua mpaka mifupa. Binafsi kuna ngoma moja ya Usher Raymond inaitwa " Nice & Slow" ilinikosha na still inanikosha.
Wewe wimbo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.