Recent content by Festosd

  1. F

    Lowassa kuua ndege wawili kwa jiwe moja?

    Ndg, ni saidieni nielewe! Lowasa anahusishwa vp kuongoza nchi wakati aliondoka madarakani kwa kashfa ya ufisadi (Rich)?
  2. F

    Mh. Tundu Lissu aeleza sababu ya kuondoa kipengele cha ukomo wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA

    Haya, sasa tujadili kwa nini CCM wameshindwa kuwaondoa waliowaita MAGAMBA! Tuambieni ninyi maCCM, kwa nini mmeshindwa??!
  3. F

    Usanii unaofanywa na Mnyika na CHADEMA juu ya swala la Bei za Umeme na Maswala ya tanesco.

    Wee Mushu mbuzi, umevurugwa?! Kama umezoea kufikirishwa na wakwe zako, ni wewe! Sisi tuna akili zetu!
  4. F

    Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

    Sio Clouds pekee, bali hata "kioo" cha jamii, TBC1 & 2 ni laana tupu! Nimeshuhudia nyimbo za ajabu kabisa, hazifai jamii
  5. F

    Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Aliyeiba lazma ni "pochaz"(magamba) tu! Coz wamezoea kutuibia kwa manufaa ya matumbo yao!!
  6. F

    Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Unajua, kuna maeneo mengine maCCM yameshaelimika, ndo maana yanawazomea menzao yanayotema pumba! CDM daima mbele sana!
  7. F

    mgombea wa ubunge zanzibar kupitia CHADEMA

    Kwa mtazamo wangu, mmepewa majibu sahihi. Hiki ni chama makini! "Huwez kinga mikono tu kisa, et umeckia wanagawa fedha!"
  8. F

    Majibu ya Waraka wa Manyerere Jackton na Pasco wa JF, kuhusu yanayoendelea CHADEMA

    Wenye akili tumeshafahamu kwa nini CCM wanakomalia CDM wamuondoe Slaa na Mbowe, badala ya kuangalia matatizo yao (CCM)!
  9. F

    Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

    Wabongooo, yaani mnajadili vita kama mnajadili kulima mahindi! Vita c lelemama, kwanza wengine bom mmeona kweny movie!!
  10. F

    Wassira A Visionary Leader Aliyaona yanayotokea CHADEMA

    Duuuh! Kweli riport noma....!! Yaani nimesoma toka mwanzo, sijaona "LICCM" hata moja! Asante sana "jukwaahuru.com"
  11. F

    Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

    Nyie "MACCM" someni ripoti inayomhusu kibaraka wenu ZZK! Tafuta kwenye "jukwaahuru.com" acheni ushabiki wa KIPUUZI!!
  12. F

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Nasemaje, nendeni mkasome huku, "jukwaahuru.com" muone mambo! Nimeweka thread, nashangaa imeyeyuka!!
  13. F

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Shonza kwa sababu ya usaliti wako ndio maana huoni, wala huelewi....laki na nusu za ZZK zimekuzingua!!!! Me napita tuuu........yote hayo tembelea, "jukwaahuru.com" uone jinsi watu walivyo WAANIKA na MADHAMBI!!
  14. F

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Nimeamini "watu" wamejipanga kuvuruga ushindi wa 2015! Lakini poa, tunamsubiri halmashauri kuu!
Back
Top Bottom