vizur lakini vigezo vya hilo swali la mwisho vizingatiwe, hupaswi kumteua mtu mwenye PHD ya CIVIL ENGINEERING akafanye kazi ya UUGUZI kisa tyuu eti msomi, ni lazima aendane na professional yake aliyonayo!!!
Wanaona haya, kwa hili sakata la ney wa mitego, wanatafuta kick, mbna wasanii wengine waliofungiwa nyimbo zao hawakuambiwa zirekebishwe, walichokifanya ni kuzifungia tu, nchi ishawashinda hii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.