Habari zenu bandugu?
Matunda tajwa kwenye title" hapo juu yanapatikana kwa wingi wa tani 30,000. Ni yale brown passions kama yanavyoonekana kwenye picha. Tunapatikana Sinza "A," karibu na ofisi mpya za NSSF (MLIMANI TOWER). Kama kuna mwenye kufahamu soko ama kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0764...
Salaam bandugu, jamaa na marafiki.
Kuna matunda aina hiyo kwenye "title" yanapatikana kwa wingi wa tani 30. Ni yale brown passions kama yanavyoonekana kwenye picha chini. Tunapatikana Sinza "A," karibu na eneo lenye ofisi mpya za NSSF, Mlimani Tower. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane...
Juan Manuel Márquez - Wikipedia, the free encyclopedia
Pitia hiyo kaka. Marquez ni defensive counter-puncher. Tuna reference points za kutosha sana kujifunza mambo mbalimbali. Na Marquez alipigana mara nne na Pacman, 2, 1 draw na Marquez akashinda 1. Kwenye boxing kuna usemi unaenda namna hii...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la UTI kurudi mara kwa mara pamoja na kutumia dawa bila mafanikio.
Ni muda mrefu sasa.
Nimefanya vipimo vyote bila mafanikio. Imefikia kipindi hata nguvu za kibaba zimeondoka.
Nikipiga round moja kitu kukubali tena ni kesho. Sijawahi kuwa na tatizo la hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.