Soko la matunda aina ya "pasheni."

Ferdondo13

Member
Jun 5, 2012
18
4
Salaam bandugu, jamaa na marafiki.

Kuna matunda aina hiyo kwenye "title" yanapatikana kwa wingi wa tani 30. Ni yale brown passions kama yanavyoonekana kwenye picha chini. Tunapatikana Sinza "A," karibu na eneo lenye ofisi mpya za NSSF, Mlimani Tower. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane.

Nashukuru kwa kuupitia uzi maana najua muda ni mali.

0764 885 424

IMG-20160228-WA0005.jpg
 
Habari zenu bandugu?

Matunda tajwa kwenye title" hapo juu yanapatikana kwa wingi wa tani 30,000. Ni yale brown passions kama yanavyoonekana kwenye picha. Tunapatikana Sinza "A," karibu na ofisi mpya za NSSF (MLIMANI TOWER). Kama kuna mwenye kufahamu soko ama kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0764 885 424.

Natumaini nitapata kufunguka kichwa kutokana na maneno yenu na natanguliza shukurani zangu za awali na za dhati kwa wote mtakaopita kwenye uzi huu maana najua mtakua mmetumia sehemu ya muda wenu adhimu ambao mngeweza kuutumia kwa mambo mengine.


IMG-20160228-WA0005.jpg
IMG-20160228-WA0005.jpg
"
 
habari yako? unauza kwa kipimo gani? itatufaaa wanunuzi wadogo wadogo?
 
Ushauri watafute wanaosupply juice kwenye hotels, migahawa mikubwa etc. Utapata soko kirahisi
 
Back
Top Bottom