Recent content by Ferary

  1. F

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Ni propaganda ambazo hazina maana kama atakua hana ushahidi wa kutosha ..maana hata albino akivaa maski ukitizama na kumtofautisha kwa rangi ya ngozi tu unaweza kuishia kusema ni wazungu, pia watekaji wanaweza wakavaa fake skin kuwapoteza maboya polisi na mashahidi
  2. F

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Mambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??
  3. F

    Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

    Kumbuka kwamba Yoshua alimalizia kuandika baadhi ya sura za mwisho kwenye kitabu cha kumbukumbu la torati. Kwa kua kitabu hicho kwa kiasi kukubwa kiliandikwa na Musa, Yoshua aliamua kuacha kuacha umiliki huo chini ya Musa na hatimae yoshua akaandika kitabu chake kama mwendelezo wa pale Musa...
  4. F

    Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

    Hapa tunatofautiana jambo moja! Musa hakua akiandika maneno yake mwenyewe bali maagizo aliyopewa ma Mungu kupitia roho takatifu. Kwahiyo hilo neno HAJAINUKA au HAJATOKEA halimishi ni Musa aliandika kwa kujigamba bali ni Mungu alimwambia aandike vile kwa sababu ya imani Mungu aliyoiona kwa Musa...
  5. F

    Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

    Nimemsikiliza ila anachozungumza kinakinzana na imani anayosimamia haimaanishi kua yupo neutral
  6. F

    Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

    ???? Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  7. F

    Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

    Mkuu sijaelewa umetasfrisi vipi hilo neno hajainuka..bila shaka hapa umelizungumzia kama neno linalowakilisha wakati ukiopita...ila kiuhalisi neno hilo linatumika kwa wakati uliopo pia..pili maneno hayo yameandikwa wakati musa akimuwekea mkono Yoshua ili aendelee kuwaongoza wana wa israel pia...
  8. F

    Je, unajua kwamba huo mwili wako sio wewe?

    Yesu alipofufuka mwili wake ulibaki duniani?
  9. F

    Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Fungua website ya jw.org
  10. F

    Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Jibu ni kua Mungu hakuwahi kuumba ulimwengu wenye tabu na shida
  11. F

    Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Ulimwengu haukua na tabu na wala haungeweza kuleta tabu kwa namna yeyote ile isikopua kwa kuvunja amri waliyopewa..tabu zilianza pale Mungu alipowafukuza adam na hawa kutoka bustani ya Eden..Kama umesoma biblia ukaelewa vizuri adam na hawa walipewa kazi ya kuitunza bustani na agizo la kuijaza...
  12. F

    Nani alianzisha dhehebu la Mashahidi wa Yehova?

    Fist of Mungu hakuumba ulimwengu wenye tabu, tabu na shida walizileta adam na hawa pale walipovunja amri ya Mungu
  13. F

    Gari la mfanyakazi CRDB Moshi lakamatwa na polisi, wadai ni la wizi

    Acha kutuma picha zisizohusika na habari utakuja uchekechwe mzew
  14. F

    Siyaelewi makato ya benki ya CRDB

    Inategemea unataka account ya aina gani na malengo ya yako ya kusave hela ni ya muda gani. Kwa ushauri wangu kama wewe ni mwanaume nenda pale crdb waambie wakufungulie account inayoitwa DHAHABU a/c hii unajiwekea malengo ya kusave bila kutoa angalo kiasi cha Tsh 50,000 kila mwezi, account hii...
  15. F

    Wazee wa kudownload latest movie na series

    Mbona inalazmisha kuregister alaf ukijarbu inakataa??
Back
Top Bottom