Recent content by Fenuchi

  1. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tiba ya vipele kwa mtoto wangu

    Samahani naomba mnisaidie ushauri kuhusu huyu mwanangu ana 2 years amepatwa na vipele usoni, shingoni masikioni nk. Vingine vikikauka vinatoka vipya tena vingine. Nilimpeleka hospital huku wakampa Ethromycin na Pricostant Cream ila bado hali inaendelea na dawa zimeisha. Vipele vipo vinakuwa...
  2. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kitabu cha BS (biological science) kwa Dar es Salaam

    Kitabu cha bs kwa ajili ya advance level biology kinahitajika kwa bei nafuu kiwe used aw kipyaa nipo Dar es Saalam. Mwenye nacho tuwasiliane kwa namba 0656-548919
  3. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chapati kwa kutumia majiko makubwa

    Nashukuru kwa maelekezo yako boss
  4. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chapati kwa kutumia majiko makubwa

    Biashara hii imeshamiri sana katika maeneo ya Dar es salaaam hususan mida ya jioni ambapo chapati moja huuzwa kwa wastani wa Sh. 500. Wakuu naombeni mchanganuo wa hii biashara nataka kufungua maeneo ya Mbezi Mwisho, Dar es salaam. 1. Mbinu zake 2. Starting capital 3. Changamoto zake nk
  5. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya vyumba au nyumba za kupanga DODOMA

    Nichek 0656-548919 Whatsapp/Cal
  6. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Pata fursa ya kilimo katika bonde la Kalenga mpaka Kiwele

    Ms Msimu unaanza lin
  7. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Upo wap mkuu
  8. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Nataka kukopa Shilingi milioni 5 nianze biashara

    Kuna mtu atatapeliwa hapa
  9. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mku Mkuu wap huko Bei imefika 120
  10. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mawazo hayapigwi rungu, hebu tueleze unachokujua ww acha kuropoka
  11. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Kwa iyo ukivuna mwez wa 3 yakupasa uyaweke ndan kwa mpk mwez wa 10 km huu ili uuze kwa Bei nzuri kdg
  12. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Uhasilia ukoje mkuu
  13. Fenuchi

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana 10 tufanye kilimo

    Uk Uko wap mkuu
Back
Top Bottom