Recent content by FENI

  1. F

    JamiiForums Tanzania On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Swali kwa Nape: Je, njia ya kumsughulikia mkosaji ni kumtoa roho?
  2. F

    JamiiForums Tanzania CCM toeni elimu kwa viwavi wenu mliowatuma hapa jamvini

    hapo ccm ndipo mnapofeli kwani sisi WASUKUMA MIKOKOTENI sio watanzania mpaka kipindi cha kampeini na uchaguzi ndo tunakuwa na thamani?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

    thanks
  4. F

    JamiiForums Tanzania Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

    kwa hesabu unazopiga inaweza kuwa ni sahihi lakini kwa hizi plot tayari zimeshapimwa kuna barabara zinpita kutenganisha viwanja kwa hiyo inakuwa ni vigumu kuuza/kupima kwa heka ila basi kuna viwanja ambavyo vina ukubwa mbalimbali mfano kuna vyenye 600sqm,900sqm,1200sqm,2000sqm nk
  5. F

    JamiiForums Tanzania Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

    sio eneo lote la kigamboni lilocchukuliwa na serikali kama unamashaka nenda wizara ya ardhi au check website yao utaona mipaka ya new kigamboni city
  6. F

    JamiiForums Tanzania Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

    Plots ziko mita 500 kutoka beach na zingine zinatazama barabara kuu ya kwenda ferry eneo la changani beach km 20 kutoka ferry,bei ni tsh 5000per square metre zimepimwa(surveyed).kwa maelezo zaidi.MALIPO YA INSTALLMENT YANAKUBALIKA KWA MIEZI ISIYOZIDI 12...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    kwani jk yuko wapi?na makamba wako?wapi? ongea point acha uzushi na kutumiwa hao RA,EL
  8. F

    JamiiForums Tanzania MAKUBWA!!!!CCM Dar nao walalamikia kupanda kwa bei ya vyakula.

    Mbona bei ya sukari wameishusha kama sio ccm inayosababisha kupanda kwa bei
  9. F

    JamiiForums Tanzania Plots zinauzwa ziko dsm kibamba

    plots ziko eneo la kibamba zimepimwa (surveyed) zinauzwa square metre moja tsh 5,500 wahi conctact 0754 450803
  10. F

    JamiiForums Tanzania CCM Chagueni Vichwa Vya kuwawakilisha kwenye mijadala ya kitaifa.

    mtujuze elimu yake kwa anayefahamu
Back
Top Bottom