Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plots(surveyed) zinauzwa ziko kigamboni mita 500 kutoka beach

Discussion in 'Matangazo madogo' started by FENI, May 3, 2011.

 1. F

  FENI Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Plots ziko mita 500 kutoka beach na zingine zinatazama barabara kuu ya kwenda ferry eneo la changani beach km 20 kutoka ferry,bei ni tsh 5000per square metre zimepimwa(surveyed).kwa maelezo zaidi.MALIPO YA INSTALLMENT YANAKUBALIKA KWA MIEZI ISIYOZIDI 12
  wasiliana nasi kwa namba 0754 450 803
   
 2. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa 5000 per sq. metre, eka moja itakuwa ni bei gani? Nisaidie mahesabu
   
 3. C

  Chiluba Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  eka moja ni sq 4900...then itakuwa around 24.5m
   
 4. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Chiluba fafanua sq 4900... nini? Nataka robo eka hapa inaweza kuwa shilingi ngapi?
   
 5. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,559
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Regina
  Hekari moja ni 70 metres kwa 70 metres
  eneo la mraba ni 70 m x 70m = 4,900 square metres

  Sasa kama Square metre moja ni 5,000 Tshs then zidisha kwa 4,900 utapata bei ya hekari moja
  Then Robo heka ni 35m kwa 35m
  Ambayo ni 1,225 square metres, zidisha kwa 5000 Tshs utapata bei ya robo heka.

  Naamini hapa nimekurudisha shule kwa mbali..... :happy:
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani kigamboni tuliambiwa imeuzwa sasa huo upimaji wa wapi tena?
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  utapeli
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,894
  Trophy Points: 280
  si ndio maana watu wanauza maeneo fasta fasta
   
 9. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  si ndio kuuzwa kwenyewe huko?na wewe nenda kauzwa kama ni mjanja,kama sio mjanja usiende man
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  heh heh mambo ya square hayo,wengine hesabu ni kama vile gereza la segerea au osama na obama
   
 11. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mchanganuo mzuri ila hapo kwenye red hiyo ni nusu heka sio robo heka kama Regina alivyouliza.

  Otherwise manunuzi ya shamba/kiwanja maeneo ya kigamboni yanahitaji vielelezo vingi sana otherwise mtu unavaa mkenge mchana kweupe.
   
 12. K

  Kivia JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndgu zanguni mimi nakaa kigamboni. Hawa ni matapeli. Hati zote zimefutwa kwa kigamboni. Usidanganyike
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni Kichwa hasa mkuu maana hata mie niliuvaa Mkenge na kudhani jamaa kakosea ila nikaona kwa haraka haraka kuwa NUSU ya NUSU ni ROBO. Kwa maana nyngine, nusu ya Eka ni 35m x 70m. Ukifyeka 70m/2 unapata 35m ambayo ndiyo jamaa kaandika 35m x 35m.

  Have good day na Mahesabu tuwaachie wanaoyajua.
   
 14. F

  FENI Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio eneo lote la kigamboni lilocchukuliwa na serikali kama unamashaka nenda wizara ya ardhi au check website yao utaona mipaka ya new kigamboni city
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Acre moja ni sawa na square metre 4,047. Hiyo 70x70 ambayo watu wengi kwa makosa wamekuwa wakiamini ni metre kiukweli ni yard...ndio maana mara nyini tunapopima acre tunahesabu hatua yard (hatua) sabini kwa sabini (hatua moja ya mtu wa wastani ni sawa na yard moja ambayo ni kama 0.9 metres).

  So strictly speaking huyo jamaa anauza acre moja kwa shilingi kama milioni 20 hivi (=4047x5000)!
   
 16. F

  FENI Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hesabu unazopiga inaweza kuwa ni sahihi lakini kwa hizi plot tayari zimeshapimwa kuna barabara zinpita kutenganisha viwanja kwa hiyo inakuwa ni vigumu kuuza/kupima kwa heka ila basi kuna viwanja ambavyo vina ukubwa mbalimbali mfano kuna vyenye 600sqm,900sqm,1200sqm,2000sqm nk
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Hilo nalifahamu vizuri tu mkuu. Nilitaka tu kuweka hizo record za acre/sq metre sawasawa kwa sababu niliona kuna upotoshaji (usio wa makusudi).
   
 18. F

  FENI Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks
   
 19. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hizi plots ziko eneo gani? Kata ipi?
   
 20. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hakukosea. Ni robo eka kama alivyosema, Gawanya meta za mraba 4,900 kwa nne kuthibitisha.
   
Loading...