Umetoa maelezo mazuri sana. Naomba msaada wako mimi nimefunga panel ya 160w na bettery 95ah lakini nikipachika tv na radio pale kwenye socket tv inaniambia low voltage halafu inazima. Nikiunga direct pale kwenye battery naangalia vizuri tu. Shida nini?
Wakuu mimi nina solar ya 160W chloride betri N100.
Natumia taa 12 na tv inch 15 cha ajabu nikiangalia tv masaa 3 mfululizo tv inaniandikia no signal. Je tatizo ni betri kuisha nguvu au ni dish?
Habari za sahizi ndugu zangu,
Nina mtoto wa mwezi mmoja lakina anasumbuliwa sana na tumbo, tumbo linaunguruma na anarudisha maziwa akinyonya.
Nani amewahi kupitia hili na je shida ni nini na dawa yake ni ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.