Recent content by Felix Jia

  1. F

    Nyangumi afia pwani ya Mtwara

    Mnyama anayeongoza kwa ukubwa duniani i.e samaki aina ya nyangumi amenasa na kufia ktk pwani ya mtwara jana. Nategemea maliasili na utalii wangefanya chochote kupreserve in museum this rare specie kabisa ulimwenguni kuliko kuendelea kumuacha anaoza pale kwa manufaa ya vizazi vijavyo. ========
  2. F

    Msikiti wa Mtambani Kinondoni waungua Moto

    Jioni ya tarehe leo 13/8/2014 msikiti wa Mtambani ulipo maeneo ya Kinondoni Dar es salaam umeugua moto na chanzo chake hadi hivi sasa bado hakijajulikana.
  3. F

    Kibonde kukamatwa,, tujadili maendeleo hii sio hoja ya kujadili

    Usipanic brother ☺ ☺ soma ujumbe utafelisha wenzako.
  4. F

    Kibonde kukamatwa,, tujadili maendeleo hii sio hoja ya kujadili

    Baada ya juzi Mtangazaji Ephraim kibonde kukamatwa ma kuwekwa nyuma ya nondo, imesababisha watanzania tuache mambo mengi ya msingi na kujadili kukamatwa kwake. Hii sio sawa kwani nguvu hizo tunazo/tulizotumia kujadili kukamatwa kwake zingetosha sana kuangalia maeneo ambayo yana mapungufu kama...
  5. F

    Baa zenye mademu wazuri Mwenge

    daaaah mbaaaalii duuuh mambo ya kwenda kucheki tausi ikulu duuuh ilikuwa ni sheeedaaaah.
  6. F

    Wadada kama unaenda kwa mpenzi usijipake lipstick

    inategemea sana na aina ya lipstick, nyingine zimetengenezwa "edible" yaan hazina madhara hata ukiila, ila sasa bei ndio tatizo maana moja utakuta mpaka laki na zaidi hii dada wa kule kikwetukikwetu hawezi inunua so kweli mtatuua bure.
  7. F

    Mwanamke kukataa kutumia kondom

    Duuh hayo mambo ya DRY CHAMA ni hatariii
Back
Top Bottom