The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Toka Masaki inaitwa Kichangachui....toka Samora inaitwa Independence avenue....
Hivi Bossman uliwahi kwenda Ikulu kuangalia tausi?
Cc: Kiranga
Tausi nilikuwa nawaona sana nikipita niliwahi enda ikulu kucheza football na Mwinyi,....but sikuhiyo hakuwepo..