Kuna vitu watu hawaelewii tuu, katiba inasema chama kilichoshinda kitaunda serikali, CCM ndio chama hicho watumishi Wameajiriwa na serikali ya CCM, wanatekekeza Ilani ya CCM sasa kwenye mkutano linaweza kuibuka swali kuhusiana na Ilani kwahiyo watumishi wa eneo husika lazima wawepo kujibia hizo...
Kalpana issue sio ushabiki, kila kitu kinaendeshwa na taratibu, kwa standard za kimataifa kubadili matumizi ya tiketi ni mambo ya kienyeji mnoo, Mimi ni shabiki wa Simba lakini ni lazima timu iendeshwe ki professional, sisi Mashabiki hatupaswi kushabikia kila kitu, ni lazima Taasisi yoyote...
Wa Tanzania ni watu wanaopenda kuwa negative kwa kila kitu, na watumia mitandao ni wachache ukilinganisha na total population ya nchi, Hivyo watu wa FB, insta na X, wakiamua kutoa maoni Yao hatuwezi kusema ndio mtazamo wa wa Tanzania wote.
Wakurugenzi wengi ni wajeuri mnoo, kwani hamna chombo cha kwasilisha malalamiko juu yao, wamekua miungu watu, wanakanyaga taratibu na miongozo mbalimbali ya utumishi wa umma. Watumishi wananyanyasika sana, wanamchonganisha mama kwa makusudi na watumishi wa umma wazalendo wanaofanya kazi kubwa...
Watu wengi wana comment tuu, hawaeleweli haya mambo ya mikataba ya Taasisi za mabeberu, unakuta shareholders wengi upinde, Kibarua kinaota Nyasi ye Kiba Angejibu kwa matendo tuu, andaaa shoo, piga sana tizi, njoo perform live piga shoo Kali watu watajua tu ukweli ni upi.
Suala sio kuchangia ni unachangia kitu gani? Kwa investment iliyopo simba ni kivipi ikose mil 100 mpaka ichangishe, mtu mwenye akili timamu lazima hii kitu ikufikirishe
Mashabiki wengi wa hizi timu kubwa reasoning Yao ipo chini mnoo, ndiomaana ujinga Kama huu unafanyika, sio mapenzi kuchangisha vitu Kama hivii ni upumbavu tuu
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.