Recent content by Felician Paschal

  1. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Research Proposal, Thesis, Data Analysis na Assignments kwa Bei Nafuu – Vionex Solutions

    Sahihi kabisa, bahati nzuri mimi ni miongoni wa watu niliobahatika kusoma nje ya nchi kwa level zote za degree na masters nathibutu kusema kua ukiwa unaona wanavyofundisha na namna wanavyotoa mitihani yao unaweza kuona maisha ni rahisi sana mambo ya take away CAT nk. But believe me hizo nchi...
  2. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Research Proposal, Thesis, Data Analysis na Assignments kwa Bei Nafuu – Vionex Solutions

    Watu hawapendi mabadiliko lakini mabadiliko hua ni ya lazima. Tembeeni muoni watu wengine wanasomaje na wanaishije, je tumewazidi maendeleo? Tumewazidi ugunduzi? Mfano USA mwanafunzi wa MPH wakati wa exam ya Biostatistics anapewa hadi formular kwenye pepa yake, yeye ni kufanya computational tu...
  3. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

    Mkuu tupe mrejesho..nasisi tuunge mstari
  4. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Okey
  5. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Nimemlipa kiasi cha 200k tulichokubaiana awali
  6. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Mrejesho, Asante sana wote kwa ushauri wenu umekua msaada sana. Nilikaza mpaka mwisho biashara tulifanya na kumaliza vzuri. Kwasasa nimechukua gari. Vp kuna umuhimu wa kumwaga oil hata kama zinaonekana ni mpya.
  7. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Muda Gani Baada ya kununua gari kutoka Japan unatakiwa kumwaga Oil ya Gearbox?

    Ukiagiza gari kutoka japan used ni lazima kubadili ATF?
  8. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Naomba kufahamu, ukiingiza used car kutoka japan, ni muhimu kufanya service zp? Na je unaweza kutumia oil ya gear box uliyoikuta na ukabadili ya engine tu?
  9. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Mtu anakuomba zaidi ya mil na laki 2 za bandari just to clear wagon ndogo tu
  10. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Niko napambana nae, nitakuja kulitaja kampuni lao soon after wakisha clear mzigo wangu.
  11. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Nimeshindana na Clearing agent

    Kama kichwa kinavyojieleza. Nimeagiza gari japan, na inatarajiwa kufika tar 7 Nov. Document zilishafika kama week moja iliyopita nikampa agent kwa ajili ya clearing, aliniambia gharama ni laki 2 tu. Sasa analazimisha nilipe mil moja jumla na gharama zake, na mm nimemwambia siwez kumtumia pesa...
  12. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

    Habari mkuu, gari yako inakuja na meli gani?
  13. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania Kahama-Dar Bus route

    Nafikiri changamoto ni abiria wa msimu, inafanya wenye mitaji midogo kujiendesha kwa hasara. Ni kama duka la nguo ambalo linauza sana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka na wakati wa wanafunzi kufungua shule.
  14. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand New Sony Mega Soundshake X70d

    Sifa tena?
  15. Felician Paschal

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand New Sony Mega Soundshake X70d

    Ni kweli tunataka vitu ambavyo vinazidi hata salary zetu. The are not made for us but we are trying anyway forcing.
Back
Top Bottom