Recent content by feitty

  1. feitty

    Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

    Kuna mwaenzio huku alikuwa anakwepa kwepa ila alipopata matatizo alijua hajui. Nenda hivohivo waujue uhalisia wako.
  2. feitty

    LUKU inakula umeme sio poa

    Huyo mtangazaji mwenyew naye aliishia kulalamika hivohivo kuwa huo utetezi hauna mantiki. Nadhani kuna walipeleka taarifa zao Tanesco hivo watajaribu kuangalia shida ipo wapi mana wana taarifa. Na haya malalamiko hasa ni kwawatu wa Dar
  3. feitty

    LUKU inakula umeme sio poa

    Hili tatizo watu wengi wanalilalamikia. Asubuhi nilikuwa nasikiliza Clouds watu wanalalamika hadi mtangazaji akahojiwa hadi meneja wa Tanesco.Alichosema huu mwezi watu matumizi yamekuwa mengi kwakuwa wengi wapo nyumbani na watoto wako likizo hivo matumizi yamekuwa mengi. Hii nikutokana na...
  4. feitty

    KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Kweli watu tunatofautiana. Mimi kukaa mbele siwezi kabisa sipendi na pia hua naogopa naona kama kifo hiki hapa. Hapo sijui huko mbeleni nikibarikiwa usafiri binafsi itakuwaje. Hata nikute mbele kwa dereva hakuna mtu sikai hata konda anifungulie huwa sikai.
  5. feitty

    Hivi vitanda vina ubora?

    Mimi acha watu waniite old school. Upande wa kitanda kwangu mbao is the best
  6. feitty

    Watoto wadogo ndani ya hijab

    Usitupangie kila mtu na afanye anachoona kinampendeza na kumfaa. Acha makasiriko.
  7. feitty

    Fire Irudishwe Halmashauri: Mambo ya Ndani inachelewesha

    Au waibinafsishe iwe kampuni ya mtu binafsi inayolipwa na serikali. Labda haya yatapungua
  8. feitty

    Je, ushawahi kupitia mkasa wa kupata ajali na gari ya mtu.?

    Kuna vitu wala sio vyakuazima basi tu tunajitoaga ufahamu. Ila kuna watu hawana aibu kuazima kwao ni jambo la kawaida hata kama hakuna ulazima anaazima na haangalii hiki kinafaa au hakifai kuazima. Unaazima kitu ambacho hata kikipata hitilafu huna uwezo wa kukitengeneza. Mimi hapana kwakweli...
  9. feitty

    Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Ni mambo mengi Mtihani kuandika ila nikiweza nitaandika.
  10. feitty

    Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

    Tena wanakuwaga watu wazima na heshima zao. Unamkuta kapigilia kapendeza kumbe jizi au tapeli.
  11. feitty

    Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

    Acha tu jana kidogo nipigwe na kitu kizito. Namshukuru Mungu aliniokoa
  12. feitty

    Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Nilisali na kumwambia Mungu kama huyu mtu si sahihi nionyeshe na akanionyesha tena vitu ambavyo sikuvijua
Back
Top Bottom