Huwezi kujibu kiustaarabu mpaka utukane?Kuna sehemu yoyote niliyotukana?
Unafikiri nashindwa kukutukana?
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Kitu kama hujui unyamaze mkuu
Kazi ya CAG ni kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa kufuata taratibu na sheria.
Umejengwa mradi sawa lakini je ujenzi wake umefuata taratibu zinazotakiwa?Ndio hapo anakuambia huo ujenzi haupo kwenye road plans za hiyo njia,kwa maana nyingine umepachikws tu juu...
Anakagua kila kitu
Ukisema serikali imenunua gari kutoka Japan hata kama documents zote zipo ni lazima alione hilo gari lenyewe na aridhike ni jipya.
Ukaguzi wa kizamani ndio ulikua unaishia ofisini tu huko huko bila ya kuingia field
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Yule wa Iringa ndio aliwaambia wastaafu ataaavunja vunja
Dah
Halafu leo bi mkubwa kamnukuu mstaafu aliyeambiwa atavunjwa vunjwa
Sijui wana hali gani hawa jamaa
Hii pangua inayokuja jokate atalamba ukuu wa mkoa.
Halafu mleta mada tambua bi mkubwa hatabiriki,anaweza kumtoa huko akampeleka Lindi huko,pia hata yule wa green city anaweza hamishwa mkoa pia ila nafasi akabaki nayo hiyo hiyo.
Yule wa kilimani pale kwa mutwa anaweza kuachwa.
Watu wa zanzibar hao
Kama umewahi kuishi zanzibar hupati tabu kumuelewa
Hawana unafiki,nyeusi atakuambia hii nyeusi
Sio mijitu ya bara nyeusi itakukazia hii nyeupe!!!
Nashauri akimaliza muhula wake aje mwingine tena wa Zanzibar
Wa huku bara tupumzike kidogo sisi tusilaze zege tu,ili kazi iendelee
Nyie watu muwe waelewa basi,si kweli kwamba watu hawapendi kulipa kodi,ukweli ni kuwa kodi ziwe rafiki.
Kuhusu hiyo ya kukiri kuwa mapato yatapungua.mbona umeshibdwa kugusia kauli yake kuwa anataka kodi halali na sio ya dhulma!Anesema mtu anapewa tax clearance mwaka huu,halafu mwakani anatakiwa...