Recent content by FCR

  1. FCR

    Huduma mbovu zitolewazo Hospitali ya Rufaa mkoa wa Shinyanga

    Shida siyo kulazwa ward namba ngapi kwa sababu navyowajuwa watanzania wakishamjua mgonjwa wataanza kumkoromea mgonjwa kwanini unatuchoma kupitia kwenye media watamhoji anayekuja kumuona ninani badala ya kumfariji hata hiyo paracetamol ataikosa kimsingi daktari anawajibu wa kutembelea wagonjwa...
  2. FCR

    Huduma mbovu zitolewazo Hospitali ya Rufaa mkoa wa Shinyanga

    Leo tarehe 11.06.2019 Kuna mgonjwa ameletwa tangu majira ya saa Saba mchana baada ya kufikishwa Kama kawaida alipitishwa kwa daktari ili daktari amuone hali yake pamoja na kuchukua particular zake. Baada ya kumuona daktari aliamuru mgonjwa apewe kitanda kulingana na hali yake ,shida inakuja hivi...
  3. FCR

    Ndugai na Zitto mmesikia kuhusu Bandari ya Bagamoyo?

    Ndugai haaminiki !alipopiga mwenzake tu kipindi Cha uchaguzi imani ya kuwa kiongozi Bora ilinitoka nashangaa kuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano! Baada ya kuwa spika nyie wenyewe mnaona changamoto zilizopo pale bungeni
  4. FCR

    Cyprian Musiba aitaka CCM imfukuze uanachama Membe haraka huku kikimjadili January Makamba, Nape na Bashe

    Mtoa mada unapotoa post Kama hii ongeza nyama kidogo nikimaanisha hiyo clip! Unayosema inatembea
  5. FCR

    Mohamed Kiluwa kashindwa kuendana na zama hizi

    Leo kaumbuka mbele ya jpm mzee huwa anapasua palepale ukitaka unune yeye anakuwa ameshamaliza kulitoa lililomoyoni mwake! Kawambia ccm ya Sasa siyo ya Zama hizi
  6. FCR

    Congo dust ni nini?

    Hiyo nimifuko mbadala ya serikali usihangaike
  7. FCR

    Nauza vifaranga vya bundi...

    Daah !aisee lakini nachojuwa umeshawasiliana na Mali asili
  8. FCR

    Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

    Zama zimebadilika aisee hii nchi Bado tunasafari ndefu
  9. FCR

    Mvutano ndani ya CCM ni kati ya wenye 'Nguvu ya dola' na wenye 'Akili ya dola'

    Ziara za nje alijua kabisa hawa jamaa wangemsulibisha
  10. FCR

    Prof. Assad aula, aingia mkataba na Sweden kukagua miradi yote ambayo Tanzania inashirikiana na Sweden

    Watu bwana et CAG AULA kwani ni professor Assad pekee atakayefanya kazi hiyo au na Wafanyakazi wake waliopo chini yake. Au kwa sababu Neno CAG
  11. FCR

    Askofu Bangoza (PHD). Kwa yaliyotokea PAP kuna haja ya kuunda tume kumchunguza Spika wa Tanzania ili apongezwe kwa kazi nzuri

    Umenena vyema mkuu huyu bagonza Bora aachane na Kaz yake kabisa
  12. FCR

    Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Kitendo cha kusema yeye amejithihirisha kuwa yeye ni mwanaume wa shoka nimejiuliza mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na wananchi anaowahudumia tena wa kiroho, gwajima tubu dhambi zako tunajuwa wewe ni mwanadamu unaweza kukosea kama ilivyokutokea habari za editing ni ngumu kuwaaminisha watu wenye...
  13. FCR

    HABARINI WA KUU HUMU NDANI

    Mwenye namba ya simu ya mkononi ya waziri was elimu prf. Ndalichako au naibu wake naomba anisaidie Mimi Nina kilio Changu Cha kumueleza ambacho ni siri
Back
Top Bottom