Recent content by fazzle boy

  1. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Ananiambia naniliu yangu ni ndogo kama kijiti

    pole sana mkuu njoo pm nkufundishe dawa ya kuondoa hicho kidole gumba ni rahisi kutengeneza hiyo dawa
  2. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda.Kweli dawa za kuondoa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume zipozipo

    wenye vibamia wapen ushauri mzur
  3. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Athari za Nyota katika Mahusiano ya Kimapenzi

    MAJINA NA NYOTA ZAKE HERUFI;A,M,Y-nyota ya (punda) na asili yake ni (moto) HERUFI;B,N,Z-nyota ya (ng'ombe) na asili yake (udongo) HERUFI;C,O-nyota yake (mapacha) asili yake (upepo) HERUFI;D,P-nyota yake (kaa) asili yake (maji) HERUFI;E,Q-nyota yake (simba) na asili yake (moto) HERUFI;F,R- Nyota...
  4. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Mume wangu huwa hatandiki kitanda

    sio lazma kutandika kitanda lakini kwa mwanaume aliyeoa ukisafir hata ukae mwez utakikuta hivyo hivyo
  5. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Kama Unafanyakazi Za Shift Bora Usioe Kabisaa

    napata wasiwasi inabidi nibadili shift niwe nalala nae home mchana ndio nakua ofisin
  6. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni uchoyo au ni roho mbaya? au ni kutokujiamini

    umeongea point
  7. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    mwandiko sio sababu ya kuingiliana na mawazo ya kichwani
  8. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    asante wakubwa zangu ngoja nifanyie kazi ushauri mlionipa nitaleta marejesho
  9. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    miaka 23
  10. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    ndio huyu naetaka kumuoa ndo wazazi wanapinga wala sina mpango wa kumwacha
  11. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    nimekuelewa binafsi hua maamuzi ni yangu mwenye na sichaguliwagi ila kwahili nimekuja humu nipate mawazo yenu nikiongeza na yangu nifanye maamuzi sahii
  12. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    nashindwa kuelewa
  13. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    wao wanataka wanichagulie ila mimi sitaki kukubali na wamesema hawahusiki kwenye ndoa yetu sijui la kufanya
  14. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    kwaiyo ni bora niendelee na msimamo wangu
  15. fazzle boy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

    wazazi wangu ni wale wa enzi za kuchaguliwa sijui maana hata siwaelewi wanasema kua eti vijan tunakurupuka
Back
Top Bottom