Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

dah! msikilize tu huyu mzazi wako au mueleweshe ikishindikana basi huna budi kumpinga maana mzazi ni mzazi tu
 
duh wazazi bado wanachaguliwa watu....sasaunachaguliwaje mi huwa sielewii enzi hizi bado yapo....af ukichaguuliwa unaoa hata kama humpendi au hamfahamiani...huko kuchokana huyo utakjkayeletewa kwani ndo hamtachokana mkiwa kwenye ndoa...wazazi wengine buana.....
 
Wewe fanya vile unataka kufanya suala la ndoa ni wewe na mwenzako hayo mengine ukiyafikiria utachanganyikiwa bure
 
miaka 6 yote hiyo halaf umuache sababu ya mama ebu angalia upande wa pili mda uliompotezea huyo mama nae daah ebu kaa nae chini umwambie umekaa mda gani na binti wa watu hata kama hamtaki me sipendi mambo ya kuchaguliana wachumba
 
asante wakubwa zangu ngoja nifanyie kazi ushauri mlionipa nitaleta marejesho
 
Mke was kuchaguliwa huwa hadumu hata kidogo kwanza hamjuani tabia zenu pili anaweza asiwe amekidhi vigezo unavyovitaka kwahiyo uwezekano wa kutoka nje ya ndoa ni mkubwa
Muoe huyo aliweza kukuvumilia kwa miaka 6
 
Wakuchaguliwa na Mama unadumu naye kuliko hawa mnaochaguana na kukutana Club au JF.. Case Study Mama zetu na bibi Zetu
Ohoo lakini mkuu kuna hii dhana imejengeka miongoni mwetu tunasema kuwa huu utamaduni umepitwa na wakati
 
Wengi hapa wa nadanganya. Hata kuchagua huwa na yao na unaweza usidumu nae.
Anaekuchagulia mama msikilize, mtaishi kwa amani. Mama hawezi kukuchagulia mke asiefaa kama anakupenda. Kuwa makini na majibu unayopewa hapa.
 
Kwani mam ako anamjuaje mtu asiyefaa kama tabia mtu huwz igiza ili aolewe baadae hufunua makucha
Ushauri oa umpendae utaweza kumchukulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom