Recent content by fazil fazal

  1. F

    JamiiForums Tanzania DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

    Mange na wafuasi wake hawatoshi na mimi naamini ameingia choo cha kiume na atavuna kwa alichokipanda
  2. F

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Karibu kwenye uislamu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Saizi hii ya uume wangu ni "kibamia"?

    Sehemu anayotoka mtoto hakuna bamia wala karoti
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

    Casual labour inawezekana lakini permanent employees mshahara ni siri
  5. F

    JamiiForums Tanzania Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

    Mimi naona tatizo ni fuel consumption ila ukiend pale DIT wanauwezo wa kuibadili itumie gas
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu mke wangu week la 42, Am a new dady in town

    Hongera baba Suzanne
  7. F

    JamiiForums Tanzania DAR: Mvua kubwa inayonyesha maeneo mbalimbali ya Jiji na baadhi ya maeneo nchini hali ikoje ulipo?

    Sio kweli hiyo ni natural disaster acha hiyo flyover za huko marekani baada ya mafuriko zilijaa maji
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kingunge: CCM ni chama changu... hakiwezi kuwa kinyume changu!

    Huyo mzee ni CCM
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nina dharura nahitaji mkopo wa 6M tu kwa dhamana ya gari

    Gari au kijigari maana vogue na ki paso vyote gari
  10. F

    JamiiForums Tanzania TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Money laundering is a crime sasa dola ina macho sio kipofu povu litamtoka
  11. F

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

    Kwa wanaoamini hiyo damu no problem
  12. F

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuachwa kutamba wapendavyo, watu Wa imani nyingine tunajifunza nini?

    Hapo ratio ni 6:1 yaani maaskofu wachochezi 6( 2 dar , 2 znz na 2 bk) kwa sheikh 1 (dar)
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    Nyerere alikataa misaada ya masharti na hatukufa kwa kizazi cha sasa wataamini misaada ni kitu cha maana lakini sisi wahenga tumeona mengi hatuna wasiwasi na uchizi wa TRUMP laana ya Mungu imshukie
Back
Top Bottom