Hakuna mtu anayekosa mwenza katika dunia hii! Tatizo lako unaowataka hawako class yako wewe! Tafuta msichana mnayeendana ushajua sura yako ni shida wafuate wenye sura kama yako! Hata wale waokota makopo na walevi wa mataputapu wana mademu zao wanaofanana! Sasa wewe ndugu upo kwenye low class...
Faza umenielewa sana ila unatamani ningeeleza deeply zaidi! Hakika amini wenye tuko na elimu ndogo tuna uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kwa ushawishi mkubwa kuliko wasomi!
Madame asante kwa kunukuu maandiko kutoka kwenye biblia ila ingefaa zaidi kama ungetambua kuwa mimi sio mpinga kristu pia sipo interested na maswala ya dini hali kadhalika mimi sio mtenda maovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.