Recent content by Fauya

  1. Fauya

    JamiiForums Tanzania Wakuu njiani nzuri ya kutumia ili kuondoa kitambi

    ili uondoe kitambi unatakiwa uache kunywa soda energy drinks na beer pia unatakiwa unywe maji mengi sana ukiweza tuu hivo basi kitambi kitapungua
  2. Fauya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi aliyefika mahakama kuu kufuatilia kesi ya Lissu

    Mbona polisi wanapigwa mara kwa mara Hadi wanakuja kuokolewa na Raia Wema shida n kwamba unakuta hawajavaa uniform ndo maana tunashindwa kujua kama n polisi au la
  3. Fauya

    JamiiForums Tanzania Dikodiko kama lote

    Umetisha sana mkuu
  4. Fauya

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    au askari polisi utajuta kumkopesha
  5. Fauya

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

    Daaaah 2025 ndo tupo hapa tunachanga Bilioni zetu za kampeni
  6. Fauya

    JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Mimi niliwahi kuambukizwa sijawahi kumla Tena huyo dada
  7. Fauya

    JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Achana na huyo mwanamke usimle Tena hata kama ni mzuri alafu endelea na dozi mpaka iishe
  8. Fauya

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Waajiriwa tunajitambulisha vp mkuu
  9. Fauya

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Nicheki PM tunaweza tukaendana mimi pia ni mfanyakazi mwenzako
  10. Fauya

    JamiiForums Tanzania Speaker Job Ndugai ni Presidential material 2025

    Na wale waliokua wanasema atagombea upinzani je?
  11. Fauya

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Hayo ni matokeo ya kata ya kipampa sio Jimbo zima
  12. Fauya

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili

    Nakupenda mshangazi wangu Nakupenda bibi kizee wangu Nakupenda kikongwe
  13. Fauya

    JamiiForums Tanzania Binti mlokole

    Achana nae mapema kabla hajaja na jibu kuwa Mungu hajakuchagua tukaanza kulia lia
Back
Top Bottom