Speaker Job Ndugai ni Presidential material 2025

Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
Akagombee hebu mpitisheni 🤣🤣
 
Hapo mwanzoni aliyumba ,Ila kwa point aliyoongea anastahi 2025 apitishwe na CCM kugombea urais ,ni aibu kupitisha pitisha bakuli kimataifa huku umepandisha tozo. Umeweka tozo kila sehemu halafu bado unapeleka bakuli?unataka kutuuza tunaangalia?
Hii takataka ilikuwa ma magonjwa mtambuka tangu 2014 huko. Halafu ndiyo na wewe mto mada ulitaka awe Rais. Ngugai was Psychiatric, labda mlichelewa kumjua
 
Back
Top Bottom