Recent content by fatmanuria

  1. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Innalilah wainnailah rajiun
  2. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Kiukwel hii hali sio dar pekee hata tulio nje ya tz hali hii inatupata sana ,, fikiria mtu mlikua jiran tu mmekua wote anatafuta namba yako anakupigia anasema yupo sehemu kaja kutafuta maisha ,,anaomba afikie kwako hapo hapo anakwambia yupo na rafiki yake ,,unafikiria ukiangalia unafamilia...
  4. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

    Mimi nahisi ndo unaelekea kufa,,,mana ndo nimetumiwa ujumbe wa mchango na dalili zote zinaonyesha sitaweza kumchangia..
  5. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Unamaanisha boda boda hawana majukumu mengine yakifamilia, ndugu, jamaa, na marafiki , wenyewe ni kushinda na kulala barabaran??
  6. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Ahsante sana kwa story nzur yenye mafunzo mengi tu .yote kwa yote tujifunze kuridhika na kidogo tupatacho..
  7. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Yan nimekua addicted na hii story kila saa nachungulia.
  8. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Mh! Ikawaje
  9. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

    Mungu atakubariki na utafanikiwa kwa uwezo wake,,,hyo pesa ni nying sana ukiwa na Malengo na ukituliza akili ,,,mi nakumbuka nilipewa laki 1 tu na nilitoka dar kwenda mkoa ambao sina ndugu wala jamaa.
  10. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Jambo gani umewahi kusingiziwa likakudhalilisha kwenye jamii?

    Hahaha Hahaha
  11. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

    Ilitakiwa wamuue na bunduk hapo hapo juu ya mti ili kuepusha madhara makubwa yatakayojitokeza baadae
  12. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

    Hahahahaha,,,,sema namimi nimejikuta nacheka tu bila sababu....
  13. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa dawa anavyosumbua wazazi

    Hahahahahaha, ,,,,,,,, ,kila mtu atulie kwakwe kipind hchi cha Corona,,,,,,,pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  14. fatmanuria

    JamiiForums Tanzania Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata

    Polen sana ila mi naona unatakiwa uchomwe sindano mana inaweza kuwa ni magonjwa ya zinaa ,,,t Dawa yake hapo ni panadol injection kwa wiki mara moja umalize dozi nzima.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom