Msaada tafadhali jinsi ya kujitoa...nimejaribu zimekubari nashindwa kujitoa na kunamgen namsubiri stend..nadhan atakuwa anapiga anaambiwa huduma zimezuiliwa
Habari wana jf,
kuna bar ina kisima ndani kwenye eneo la dancing floor.wenyewe wanadai kipind chanyuma hicho kisima kilikuwa nje. Walivyopanua jengo kikamezwa ndani. Sasa hiki kimekua hatari kwa wanywaji wa bar hii hususan kwa muda ambao wamelewa.
Tume mshauri mmiliki wa bar hi marakadhaa...
Habari wanajukwaa...
Ni kampun gan bora inaweza kunitengenezea vifungashio.
Vifungashio navyo hitaji ni vile ambavyo vipo katika mifuko ya bahasha.ndani inakuwa miwili miwili kama ilivyo kwenye mifuko ya cement.pia nahitaji vifungashio vilivyo ktk mfumo wa sulfate
pia nahitaji kampuni nziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.