Ni mamlaka gani zinazojishughulisha na usalama wa mazingira ya Baa?

father109

Member
Sep 30, 2021
6
10
Habari wana jf,

kuna bar ina kisima ndani kwenye eneo la dancing floor.wenyewe wanadai kipind chanyuma hicho kisima kilikuwa nje. Walivyopanua jengo kikamezwa ndani. Sasa hiki kimekua hatari kwa wanywaji wa bar hii hususan kwa muda ambao wamelewa.

Tume mshauri mmiliki wa bar hi marakadhaa akifukie kisima hiki lakin anakwepa. wanajamii naombeni msaada wenu ni wapi nikatoe malalamiko ili wahusika wamwajibishe huyu bwana.

Swali lingine nimamlaka gani zinazo jishughulisha na usalama wa mazingira ya bar?
 
We bado umelewa unapost mambo ya bar kwenye jukwaa la mawakili wasomi au wewe ni supika wa mjengoni
 
Habari wana jf,

kuna bar ina kisima ndani kwenye eneo la dancing floor.wenyewe wanadai kipind chanyuma hicho kisima kilikuwa nje. Walivyopanua jengo kikamezwa ndani. Sasa hiki kimekua hatari kwa wanywaji wa bar hii hususan kwa muda ambao wamelewa.

Tume mshauri mmiliki wa bar hi marakadhaa akifukie kisima hiki lakin anakwepa. wanajamii naombeni msaada wenu ni wapi nikatoe malalamiko ili wahusika wamwajibishe huyu bwana.

Swali lingine nimamlaka gani zinazo jishughulisha na usalama wa mazingira ya bar?
Nafikiri OSHA, ndio wanasimamia mambo ya usalama mahali pa kazi
 
Back
Top Bottom